Recent content by heavyload

  1. heavyload

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya Kwanza)

    Naomba ushauri namna ya kufanya usimamizi wa biashara hii
  2. heavyload

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rasmi: Zitto Kabwe anapambana na CHADEMA, lakini Je, ataweza?

    Ni lazima wananchi waambiwe kuhusu hawa machàwa wa ccm wawajue
  3. heavyload

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe: Yeyote atakayemsaidia Seth katika sakata la IPTL ataanguka naye

    Aache kutishia watu huyo,polisi wamwongezee kesi ya kutishia umma
  4. heavyload

    JamiiForums Tanzania Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

    Ukweli mtu kiufupi mkoa mzima uko hivyo,hawana jipya watani zangu wahaya zaidi ya kujivuna tu
  5. heavyload

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haiwezi kuchapisha hela nyingi na kuwagawia watu ili kuondoa umasikini? Hii hapa elimu kidogo

    Shida ya wasomi uchwara ni kukosoa bila hoja
  6. heavyload

    JamiiForums Tanzania SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

    Dogo hana nidhamu hata chembe, kisaikolojia kijana huyu inaonyesha ni mwehu mmoja tu sio mwanahakati wala nini!
  7. heavyload

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Tanzania wamshukuru sana Dkt. Ulimboka bila hivyo mpaka leo wangekuwa wanalipwa laki 3

    Nani ajitose kutetea sekta nyingine kama ualimu nao wawe kama madaktari
  8. heavyload

    JamiiForums Tanzania Lilikuwa ni kosa kubwa kuifanya Dodoma makao makuu ya nchi

    Mbona kama unaongea kwa makasiriko tu,au unaulewa mdogo wa mkoa wa Dodoma.Kuwa makao ya sio hivyo ulivyotaja wewe kuna mambo zaidi ya muhimu.
  9. heavyload

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameniita kwake saa 5 usiku, nimeenda na mchungaji, baadae amenuna, nifanyaje?

    Acha useng...,mchungaji ndo upuuzi gani?!..mademu wa aina yako huwa ni wa....
  10. heavyload

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuondoka leo Oktoba 29 kuelekea Marekani kuhudhuria mjadala wa Norman E. Borlaug

    Am proud of you heartily my SSH my President. Sijasoma sana ila nina IQ kubwa najua una mamlaka na I wish you have more than 10 years ahead. Please consider this
  11. heavyload

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwepo kwa somo la "kujijali" self caring sababu ya "self denial" Baada ya kusalitiwa

    Mkuu una hoja,maisha ya watu yameharibika na kupoteza maana baada ya kusalitiwa
  12. heavyload

    JamiiForums Tanzania Msiache kuiomba mizimu yenu, ndio njia rahisi ya kufanikisha mambo

    Kuelewa huu uzi unahitaji kuwa na akili kidogo iliyochangamka.Wazungu walitengeneza mbinu ambazo ziliingilia mifumo yote ili kuutawala ubongo wa mwafrika kuanzia elimu hadi kwenye siasa na uchumi
Back
Top Bottom