Recent content by Heaven kama heaven

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

    Lakini haikuwa sahihi mtumishi wa umma kupanda majukwaa ya kisasa;au yupo likizo bila malipo?😅
  2. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Mi namtakia heri na naungana na wale wanaosema akishinda yeye Tanzania imeshinda. Tanzania ndio nyumbani kwetu,tuipende nchi,tuwapende watanzania wenzetu.Shida zitatatuliwa hakuna nchi isiyo na shida hata kidogo.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nafuatilia msiba wa Msuya tangu juzi, mbona David Mathayo David hatajwi kwenye watoto wa marehemu

    Unfortunately fedha haiwezagi kuziba gap kama hilo....Mungu ampe utulivu baba Mathayo.Kwanza pia ni mstaarabu na mcha Mungu mno.Mungu anampenda
  4. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Precious Pre, Primary and Secondary Goba ifanyiwe uchuguzi, kuna mambo yanaendelea si afya kwa watoto

    Hii shule mbona ilikuwa nzuri sana.Kwamba imebadilika? Nitasikitika kama imebadilika.
  5. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

    Yaani inashangaza!Halafu utadhani hao waliofaulu sio walimu.Mbona nao ni waalimu tofauti ni kwamba hawa wamefaulu hawa wamefeli.Idadi ya walimu ni kubwa kuliko nafasi:sasa serikali ichuje vipi bila usaili?Dua la kuku halimpati mwewe Mkenda hana kosa lolote laana isiyo na sababu haimpati mtu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

    Ajuaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salaamaa leo tunawapa polee...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wazee wa miaka ya 90, huu wimbo wa Shambani kutoka - RTD unakukumbusha wapi?

    Hahaha...mi nilijua club rahaleo showwww
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ukabila ni jambo lisilo semwa sana nchini lakini lipo sana kazini/maofisini

    Hivi unashindwa nini kutaja!!! Wewe mwenyewe hujiamini halafu uko front kuwasema wanaojiamini. Sasa ukimfichia siri huyo mkabila umefanya la maana?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ajira za Walimu,Hili prof Mkenda Kalitazama!

    Huu ni "mtihani" wa usaili wa 'kazi'. Akilijua hilo anaenda na ufahamu wake wa elimu ya ualimu(kazi atayoenda kufanya) na ufahamu wake wa kitaaluma wa somo husika la kufundishia; basi mchezo umeisha anachukua ajira.Tatizo watu hawajatulia kujiuliza hiki kitu kina maana gani na hivyo mimi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ajira za Walimu,Hili prof Mkenda Kalitazama!

    Kwanini asijiandae kwa kusoma pia;material si zipo kichwani tu amesahau akianzq kusoma kumbukumbu ya concepts inarudi.Au alikariri concepts haziku sink?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

    Sio wanawake wote,huyo wa kwako ana njaa
  12. H

    JamiiForums Tanzania True story!! Kwenye mapenzi tuwe makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Asiendee na uhusiano amshukuru Mungu.Ndugu wa damu kuoana mnazaa viumbe dhaifu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

    Umeelewa mada lakini?
Back
Top Bottom