Ndio Ni mfumo wa kukausha ambapo chanzo Cha uzalishaji(burner) na chamber yenye mzigo havina contact, unaweza sindika pia hata nyanya kinachobadilika Ni tray tu. Upande wa nyanya zinakatwa kwatwa then zinawekwa kwa muda wa masaa matatu zinakuwa zimekauka kau, unachukua Brenda unazisaga then...
Asante Sana mkuu: niliamua kuweka kambia Geita kwasababu Kuna samaki wanatokea nkome,chato, senga hivyo Bei ya samaki ipo chini ukilinganisha na mwanza. Kwenye mpango kazi niliona Ni vyema kuanzia geita na machine ya Kwanza ipo geita vijijini. Lengo kubwa Ni kuifikia jamii kubwa ya watanzania...
1.Asante Sana mkuu, machine zinatofautiana Bei kulingana na ukubwa wa machine na matakwa ya mteja ama anataka full stainless au galvanized.
200kg capacity galvanized full automatic ni 3 million lakini ambayo sio automatic Ni 2.5million. zipo za Bei juu ya hapo na chini ya hapo pia.
2...
Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania.
Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba kusindikwa. Samaki Hawa huweza kaa siku nyingi pasi haribika Wala kupoteza Radha.
Machine yetu huweza...
Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania.
Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba kusindikwa. Samaki Hawa huweza kaa siku nyingi pasi haribika Wala kupoteza Radha.
Machine yetu huweza...
Ni maneno ya Bibi mmoja kwenye daladala~ alikuwa muuza mboga kwasasa ameacha. Wakati baba yupo inamaana mama alikuwa anaishi kwa kuigiza au mama alikuwa anaskilizia. Baba mama anageuka, amini siku zote tabia ya mama iliyojificha hutambulika baba akiwa hayupo.
Hivi kwanini rasilimari zinaondoka...
Umasikini ukizidi hazaa waasi wenye uzalendo~ alisema babu yule. Hakika meli ikipoteza dira mwisho wake sio mwema labda iokolewe na wasamalia wema na vipi Kama wasamalia huonekana ni waasi.
Taifa langu Tanzania~ Namkumbuka Zitto Kabwe akiwa BBC aliwahi sema ni vyema wanafunzi wajawazito wapewe...
Hata Kama mengine wanamuonea~ alisikika mama mmoja wa zaidi ya miaka 50 akisema. Namkumbuka mama yule aliesema hatopiga kura mpaka barabara ya mkoa wake kuwekewa Rami. Mara nyingi alikuwa hawaungi mkono wapinzani japo si mwanasiasa wa upande wowote.
Siku moja Mh. Mbowe alikamatwa jijini mwanza...
Ni Kama maua~ hakika alikuja kama nuru hakuna alietegemea, huenda alipenda watu wamshauri lakini alitambua anamuda mfupi was kutumikia. Wengi huwakuelewa Ni nini anafanya na kwa sababu zipi anaamua hivyo lakini yeye alitambua.
Daima alimtanguliza Mungu na kusema watanzania lipendeni taifa lenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.