Recent content by Health and Life Tz

  1. Health and Life Tz

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hii ipo sana voda... Yaani mi huwa sitamani ibaki hata kumi
  2. Health and Life Tz

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi nimepiga kelele hadi wamerudisha hela yangu.... Sitakubali tena kukatwa hela zangu kipuuzi na kunyamaza labda nisijue
  3. Health and Life Tz

    Jamiiforums android

    Ina problem, mi hata notification sipati
  4. Health and Life Tz

    Sababu zinazoifanya Tecno iwe kampuni isiyojitambua/kujielewa

    Hahaha hahahaha... TECNO nikiiona tu napata kizunguzungu....
  5. Health and Life Tz

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom Tanzania wezi sana... Kwa kweli rudisheni salio langu
  6. Health and Life Tz

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Wezi kabisa. .. We need to raise our voices.. Tunapata hela kwa shida wao wanazichukua tu kiulani. Tadadhali Vodacom Tanzania rudisheni hela zangu..
  7. Health and Life Tz

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom Tanzania wherever you are come here.. Mmezidi wizi I want my money back.. Acheni upuuzi kabisa... We are working so hard to get money... Haiwezekani mchukue hela yangu kiulani... Ujinga ujinga sasa nimechoka kuvumilia tafadhali rudisheni hela zangu kwenye akaunti yangu ya salio
  8. Health and Life Tz

    Watafiti: Vyakula vyenye Cholesterol sio tishio tena kwa afya

    andishile upo? Miss you sana hope upo ok... But unajua cholesterol siyo mbaya ila unapokula vyakula vya wanga kwa wingi ukijumlisha na mafuta ndio vina sababisha cholesterol levels kwenye damu iongezeke... Tujitahidi tule wanga kiasi
  9. Health and Life Tz

    Watafiti: Vyakula vyenye Cholesterol sio tishio tena kwa afya

    Kweli, be careful of what you eat... Jua kubalance mlo wako... Moderation is the key... Always consume moderate... Not too much or too few
  10. Health and Life Tz

    Kitambi na mwanaume wa Kitanzania

    Poor lifestyle and eating habits
  11. Health and Life Tz

    Kitambi na mwanaume wa Kitanzania

    Simple.. Chakula unachokula ni kingi kuliko unachotumia.. Badili mlo wako punguza wanga na mafuta ongeza mboga za majani na matunda na maji kwa wingi
  12. Health and Life Tz

    Kashfa nzito: Hospitali ya Palestina Sinza, Dar es Salaam

    bunited Daaah inasikitisha sana... Hospital zetu za serikali ni majanga...
  13. Health and Life Tz

    Kitambi na mwanaume wa Kitanzania

    Si kawaida unajiweka kwenye risk ya kupata magonjwa ya moyo na sukari kutokana na excess fat
Back
Top Bottom