Recent content by HC Judge

  1. H

    JamiiForums Tanzania TLS: “Wakili Joseph Masanja Aliuawa kwa Kushambuliwa na Askari Magereza Katika Bwalo la Magereza Babati”

    Hili tumelijua kwasababu victim ni wakili na TLS wameamua kulisimamia je kwa ndugu zangu wakulima?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mwenza Kupotea kwa Miaka 5 Kunatosha Kuvunja Ndoa?

    Inafikirisha
  3. H

    JamiiForums Tanzania TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Kwakweli inatisha sana nilihisi kuiona jehanam
  4. H

    JamiiForums Tanzania TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Izo ni story tu za mtaani walikuwepo na wapita njia waliokuwa wakishanga kabla ya tukio (mimi nikiwa mmoja wapo)
  5. H

    JamiiForums Tanzania TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Naomba nisiadithie lakini kwa ufupi sana ni kwamba nilipoteza watu wangu wawili wa karibu nikiwaona wanateketea huku sijui nini chakufanya
  6. H

    JamiiForums Tanzania TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Unatonyesha vidonda yani ili tukio nimelishuhudia kwa macho yangu bila kuadithiwa kwakweli huwa sitamani kulikumbuka kabisa
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ili kupata msaada wa bure wa kisheria nchini Tanzania.

    Kwahiyo hapa hata matajiri wanapatiwa msaada wa kisheria bure na wao?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

    Aisee kumbe jambo lipo serious kiasi hichi 😳
  9. H

    JamiiForums Tanzania Suala la Baraza la Vijana la Taifa linakwama wapi?

    Kama ndo wabongo wote tukiwa tuna fikiria na kuwa ma Judgmental kama wewe hii nchi kamwe haiwezi kuendelea
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

    Naunga mkono mtazamo
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

    Hawana hoja ni spana za upinzani zina wasumbua.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sababu sikuoa na wala sina mpenzi Mwanachuo

    Ujinga tu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

    Mimi sielewe kabisa, ni kivipi uhuru ulionao X unakua sababu ya ushoga? Maana nifahamuvyo ni kwamba kila mtu analetewa suggestions za content kutokana na anachofatilia.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni upi mwitikio wa jamii ya kitanzania katika dawa mpya ya uzazi wa mpango kwa wanaume?

    Mtaalamu anaikataa. Sasa mimi ni nani niikubali
  15. H

    JamiiForums Tanzania Suala la Baraza la Vijana la Taifa linakwama wapi?

    Leo ndo nimesanuka. Kumbe na sheria ilishapitishwaga aise. Hapa ndipo ninapo ichukiaga serikali ya CCM na nina uhakika vijana wengi hata hawaelewi chochote kuhusu umuhimu wa ili swala.
Back
Top Bottom