Recent content by hb9

  1. hb9

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

    Naamini Mbowe ana nguvu bado na hata akifanya mkutano na waandishi wa habari akakemea hata namna kesi inavyoendeshwa nadhani italeta tofauti kidogo. Ila kibinadamu namna alivyoshughulikiwa na viongozi hao na wafuasi wengine walioamua kusimama na viongozi hawa walio madarakani sidhani kuandika...
  2. hb9

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanachama wasaliti wa Chadema nyota zao hupotea jumla?

    Wanachama anabebwa na sera za chama chake na pia anajijenga mwenyewe na kuaminiwa na wanachama. Anaposaliti anatengwa na haaminiki sana hata anapohamia kwa kuwa wanahisi hana msimamo anaweza kurudi pia alikotoka kikubwa ana masalahi au uroho wa madaraka ndio uliomfanya ahame hapo mwanzo...
  3. hb9

    JamiiForums Tanzania Walianza CHADEMA, zikaja nchi jirani halafu kanisa sasa huenda ni zamu ya wasukuma mwisho kabisa ni wanaCCM

    Ni DMX au wimbo wa Ludacris...
  4. hb9

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Inasikitisha kuona hata polisi wanatenda Uhalifu, hii haikubaliki washughulikiwe kisheria kama Wahalifu wengine kuvaa sare siyo Kinga!

    Hii iko sawa kabisa. Kuna ubinadamu nyuma ya mavazi yoyote,kofia au cheo katika ulimwengu huu. Ukitaka kujifunza dunia na mwisho wake pita makaburini angalia miaka ya kuzaliwa na kufariki. Angalia umri wako alafu jiulize mbona wengine wamefariki watoto, vijana na baadhi wazee.Kumbuka pia kuna...
  5. hb9

    JamiiForums Tanzania Nimeamini viongozi wengi waliishi na Magufuli siyo kwa dhati ya mioyo yao bali kwa unafiki

    Sio wanafiki bali pengine hawakupewa nafasi ya kusikilizwa hoja zao.Kwa ukali wa kiongozi au hata baba nyumbani huwa mtu au mtoto anaogopa kusema jambo pengine kutokuwa na uhakika litapokelewaje.Wanaongea ambayo waliamini yako sawa kwa wkt ule na sasa.Kama barakoa kwa mfano kiongozi hajavaa...
  6. hb9

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga kuanzishwa mkoa wa Chato hawana hoja

    Tukifikia nje ya box.Je huu ni muda sahihi wa kuifanya Chato kuwa mkoa kama ambavyo inatakiwa kwa hoja mbalimbali za kiuchumi,kijamii na maendeleo ya sehemu na idadi ya wakazi.? Kama ni kumuenzi kiongozi aliyepita tukubaliane tumuenzi kwa kumalizia aliyotaka hapo ilipokuwa asili yake regardless...
  7. hb9

    JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei ni fisi aliyejivika ngozi ya kondoo

    Kilichomfikisha hapo Fred ni mapambano yake kibiashara na elimu inayomsaidia kukua siku hadi siku.Hisoria yake inambeba kuisimamia idara ya fedha.Shida wengi wetu tunajadili kiubinafsi na wivu wakati mwingine.Bora hata akae at least mwaka kisha tujadili mapungufu yake.Mtu hata wiki mbili hana...
  8. hb9

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu utendaji wake hata clip za wafanyabiashara mfano mmiliki wa Weruweru lodge alitamka hadharani kuhusu kulazimishwa kutoa fedha.Lema alisema sana kuhusu tuhuma mbalimbali.Tuache mkondo wa sheria na haki tuone hatma yake.Ila kikubwa " guilty until proven innocent"
  9. hb9

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ningekuwa Makonda ningesubiri mpaka 2025

    Hivi ukishaacha dhambi na ukatenda mema utakuwa na uhakika kwenda mbinguni sio.? 'Hii ndio ile 'mountaintop " aliyoisema Martin Luther Jr. Anaijua safari na atafika kwenye promised Land.
  10. hb9

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

    Kwa uhakika gani kwamba wengine si wajumbe wa Tanzania bara waliompigia kura Nahodha na mwenzie.Hoja ni kwamba pengine Mwinyi halikuwa chaguo la wazanzibari wengi au vinginevyo Ila hii probability yako haiko sawa
  11. hb9

    JamiiForums Tanzania Watumishi Housing nyumba zenu ni kwa ajili ya kusaidia au kunyonya Watumishi?

    Kiuhalisia ni gharama kubwa sana maana tofauti ya 76,000,000 inajenga Nyumba nyingine ya kisasa kabisa.Nyumba kama hizo hugharimu chini ya 50,000,000 kwa kuwa built up area ni ndogo Vyumba ni vidogo,headroom fupi na eneo linalobaki pembeni ni dogo na mnabanana sana.Malezi ya watoto yanaathirika...
  12. hb9

    JamiiForums Tanzania Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    QUOTE] Wakati mwingine vituko kama hivi wasifanye viwe habari.Watulie wasake kimyakimya maana udhaifu huu na tafsiri yake baada ya kusambaa inafikirisha watu zaidi na mawazo yanaweza kwenda mbali zaidi.Utasikia hajakamatwa mtu pengine ni upepo wa kisulisuli ndio umepita ofisini kwa DPP.Tutaona...
  13. hb9

    JamiiForums Tanzania Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

  14. hb9

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Benard Membe hajaenda kwenye kilele cha mbio za Mwenge

    Uwepo wa Membe ulikuwa na tija gani katika ukamilifu wa dhifa hii pamoja na kuhudhuriwa na viongozi uliowataja.Orodha ya wastaafu umeipata wapi ukamkosa Membe pekee ? Ubora wa mkutano na shughuli zingine kama zinaendelea sawa hazijakwamishwa due to his absence then usijichoshe na mambo...
  15. hb9

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Usalama wa kiongozi kama Lissu na shughuli za aina yake katika nchi hii kwa sasa na pia madhila aliyopitia ni kipaumbele kikubwa akizingatia pia thamani ya maisha yake na familia yake ikiwa atadhurika kwa mara nyingine.Mungu alimpa nafasi ya pili as it was a miracle kuweza kusurvive ile...
Back
Top Bottom