Fred Vunjabei ni fisi aliyejivika ngozi ya kondoo

Kilichomfikisha hapo Fred ni mapambano yake kibiashara na elimu inayomsaidia kukua siku hadi siku.Hisoria yake inambeba kuisimamia idara ya fedha.Shida wengi wetu tunajadili kiubinafsi na wivu wakati mwingine.Bora hata akae at least mwaka kisha tujadili mapungufu yake.Mtu hata wiki mbili hana mshaanza majungu.
 
Kuna jamaa mmoja hapa Jana alimwambia Huyo vunjabei kwakuwa ameamua kufanya biashara ya utumbo Basi asiogope nzi
 
Huyu Jamaa ni mbunifu xana ataisaidia. fisiem. tupunguze wivu .ndio local content hiyo waswahili bwana au M nataka akae muhindi au Kabul ndio mlizike kijana katumia fursa .
 
Back
Top Bottom