Recent content by Hawa the bus

  1. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kukaribisha ndugu zake nyumbani bila kushirikisha mume?

    Tatizo watu wanapenda mteremko Kwani ndugu wa huyo mume mbona hawaji hapo?... unasikua thatha thang'ana fukuza huyo mwanamke akiamua kutembea mtakie safari njema ila ndugu zake fukuza huu ni Muda wa kuandaa maisha ya familia yako sio Kufuga ndugu wa mke wenye wazazi wao
  2. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kukaribisha ndugu zake nyumbani bila kushirikisha mume?

    Kama huyo mkewe hataki kuwatimua jamaa awaambie ukweli kwamba hana uwezo wa kuwahudumia kwa sasa warudi kwanza nyumbani hali ikiwa nzuri atawaita wakushaondoka ndo mazima Unasikia thatha kabla jamaa hajaoa huyo mwanamke hao ndugu walikuwa wanaishi wapi?..... je huyo Dada asingeolewa hao ndugu...
  3. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kukaribisha ndugu zake nyumbani bila kushirikisha mume?

    sikiliza thang'ana fukuza hao wageni as soon as possible bora lawama kuliko hasara . Mume hutakiwa kuwa mpole kuasi hicho. huyo jamaa kaoa mke sio ndugu wa mke cha kufanya Mwambie huyo mkeo kwamba hutaki kuona hao wageni hapo kwa sababu wamekuja bila utaratibu hivyo huna maandalizi kuwahudumua
  4. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania Karibu tujenge jamii mpya

    Napenda kuwatangazia wana jf kwamba mwaka huu historia ya maisha yangu will change from senior bachelor to masters of couple. nahitaji kuoa ila mpaka sasa mchumba sina hivyo napenda kuwatangazia kwamba kama kuna msichana mwenye utayari wa kuolewa naomba tuwasiliane ili tufanye mazungumzo kama...
  5. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania Naomba niwe mfano, na mjifunze kupitia hili lililo nitokea

    Muulize kwanza
  6. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania PICHA: Afrika tunakwama wapi?

    The level of development between Africa and Europe up to 21 century is not the same.
  7. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari mbaroni akidaiwa kuomba rushwa ya ngono kwa Mwanafunzi

    Kitu ii ...... kitu iiii...kitu iiii ...kitatumaliza!
  8. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mbeya wanajua sana kulia msibani

    Wajaluo ni kiboko.
  9. Hawa the bus

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Acha kushindana na wifi yako tekeleza majukumu yako maisha yaendelee. ndugu wa mume ni ndugu zako wavumilie unapokubali kuolewa jiandae kwa yote also ujiandae kisaikolojia. Tulia kwenye ndoa yako mjenge familia tabia ya kulialia hapa jukwaani mara aaa mara eee haitakusaidia chochote.
Back
Top Bottom