Recent content by HAVARA

  1. H

    JamiiForums Tanzania Chenge akaidi agizo la polisi la kusitisha kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa

    Chenge ni mti mkavu umewashinda ccm,na serkali.Je si ndiye aliyekataa kuhojiwa na tume ya maadili? Wabunge wa ccm wakamzawadia uenyekiti wa bunge.Eti na yeye yumo kwenye kamati ya maadili ya bunge.Aibu aibu aibu!!!!!!!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM kumuunga mkono Magufuli

    Anatafuta nafasi za ukatibu wa ccm mkutano unaanza kesho kutwa good timing.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Sitta atimuliwa nyumba ya Serikali

    Dhambi ya katiba itamtafuna hadi mwisho.Makonda ajifunze toka kwa Sita.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni nini kinachoitafuna Zanzibar ndani ya NECTA? 10 baya la mwisho shule saba?

    Acheni siasa kwenye elimu hamna shida mwakani ccm itawaletea polisi kuhakikisha mnafaulu mtihani,
  5. H

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Dar: Zoezi la ukaguzi kila nyumba aliloagiza RC Makonda ni Batili

    Team Makonda ipo kazini shame Rais amfunge speed gavana atamtia aibu.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Dar: Zoezi la ukaguzi kila nyumba aliloagiza RC Makonda ni Batili

    Anaturudisha kwenye nguvu kazi ya Mhavile karne ya ishirini na moja.Je msako huo ataufanya saa ngapi usiku wa manane? Je walioko kwenye kazi za usiku wataulizwa saa ngapi?Je kama mchana waliokazini wataulizwa saa ngapi? Makonda anakuwa mlevi wa madaraka!!!!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko: Maelfu ya wapinzani watamani kuhamia CCM

    Hahahahaaaaaaaaa.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Labda ndugu yangu hujaelewa maana ya kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa(upinzani).Maana yake hakuna kupinga kila kitu sema ndiyoooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  9. H

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Wasiotaka Magufuli awe Mwenyekiti CCM waondolewe

    cv ya Bulembo tafadhali mbona amesahauliwa?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mpya wa Songwe Elias Nawela amelipwa fadhila?

    ccm ccm ccm!!!!!!!!!!!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe:Tamko la Polisi dhidi ya Mikutano ya Siasa ni la "Mwendokasi"

    polisi watamke hadharani kuwa ccm pekee ndio wanaruhusiwa kufanya mikutano(wasiseme vyama vya siasa).Nchi imerudi kuwa ya chama kimoja tu.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupoteza Trilioni 2 kwenye Utalii

    Hujui mambo ya utalii utulie kabisa.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba aliukana ualimu, akauona ni ajira ya hovyo. Leo anapewa cheo cha Utumishi wa Umma!

    maafisa tawala wasiosomea utawala je vyuo vifungwe?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ukoloni ndani ya Serengeti

    Kinachoitwa uwekezaji ndani ya pori la Ikorongo sasa imekuwa janga.Mwekezaji huyo au mmiliki huyo sasa amefunga njia ambayo ameikuta ikitumika kwa miaka mingi.Njia hiyo ambayo ilikuwa ikitumika na makambi ambayo yapo ndani ya Serengeti kwenda kupata huduma za zahanati na bidhaa imefungwa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wataalam na Washauri wa Serikali hii ya Mhe.Rais Magufuli wako wapi na wanafanya nini?

    kuna walioondolewa ukuu wa wilaya wamepoozwa huko.Hapa kazi tu.CCM NI ILEILE!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom