...Hebu kwa wale waliotizama na kufuatilia mubashara hafla ile, wakati Mhe.Waziri mkuu anafanya protokali....ni kama alitambua na kushukuru uwepo wa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam.
...Naomba kusahihishwa kama nimekosea.
Naelekea kufikiri kuwa ktk kinachoitwa kamati ya ulinzi na usalama, Hali Si Sawia hata kdg. Kitendo cha
Mwenyekiti -Mkuu wa Mkoa, Kuwalalamikia hata kufikia hatua ya kuwaelekezea shutma wajumbe wa kamati yake -makamanda wa vikosi vya ulinzi na usalama ktk Mkoa wa Dar-es-Salaam, shutma za...
.....actually Uganda wao wamehalalisha utengenezaji wa pombe hii 'haramu '(gongo), na sasa yanywewa kihalali kabisa.
Iliitwa 'ugogoro'.... Na sasa inaitwa Ugandan Waraghi(naomba kusahihishwa)... It's a spirit liquor like any other!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.