Recent content by hauleibrahim

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pasheni

    Hamkuwahi kuwa na njia za kuzuia nyoka
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pasheni

    Noma sana mijoka kama yote 😂🤣 mlikuwa nayo mingapi?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pasheni

    Ok
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha pasheni

    Naomba mtaalam wa kilimo Cha pesheni anae fahamu vitu vifuatavyo. Anaejua mbegu nzuri na bora sokoni? Anaejua vipimo Vya kilimo Kwa mche na mche Anaejua muda wa kukomaa tunda hilo na njia za uvunaji mzuri na wenye tija shambani. Kiufupi nataka nisaidiwe elimu yote Kwa ufasaha kuanzia abc...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara (alfajiri)

    Uza supu maeneo ya uswahili fika machinjoni mapema asubuhi jioni na asubuhi uza supu tafuta eneo lililo changamka lenye vijiwe vya boda au eneo Lenye mirundikano ya watu mithili ya mjini weka bei rafiki isiyo na hasara ila yenye mzunguko mkubwa kwako kukuingizia fedha nyingi
  6. H

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Pole aisee ila hongera Kwa juhudi zako. Kwa ushauri wangu kabla ya kuanza kilimo chochote kwanza tafiti masoko mwenyewe achana na Yale maneno soko lipo tu mkuu hayo yanapotosha maana ni maneno ya jumla lipo wapi bei ikoje ya kununua sokoni au shambani ni bamia aina gani inapendwa sokoni...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Zifahamu changamoto za kwenye kilimo zilizo kubwa

    Acha niheshim mtazamo wako ila hisia sijui kama zinaweza kuandika vitu kama hivyo kama mtu haupo kwenye kilimo na hukijui kilimo kabisa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Zifahamu changamoto za kwenye kilimo zilizo kubwa

    Serikali ikiamua kumkomboa mtu maskini
  9. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani

    Maskini ili afanikiwe lazima viongozi waache roho mbaya katika mambo yote ya msingi ndani ya taifa
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo imara ila najuta

    Ushauri mzuri.tulio wahi kutana na hali hiyo tunakuelewa watoto wa 2000 hawato kuelewa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

    Muuaji Hana alama siku zote.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Kulima ni hatua moja soko ni hatua ya pili. Mm sitaki kujua ulilima wapi ulilima aina gani ya nyanya mmi nataka kujua njia za soko ulizo tumia kunufaika na uuzaji wa nyanya zako bila kupatwa na stress za mzigo kuuza nei ya chini n.k
  13. H

    JamiiForums Tanzania Zifahamu changamoto za kwenye kilimo zilizo kubwa

    Sio labda ndio wanasema hivyo walikuja kutupa semina chuo Cha kilimo mati mtwara naliendele
Back
Top Bottom