Nadhani watu tuliwahi kusema sana kua mfumo wa chama cha mapinduzi haufai mkasema tatizo ni mtu leo hii tunayoyaona yalitalajiwa sana kila kukicha kikwete na mkapa wamekuwa wakipisha ikulu kwenda kuhakikisha majipu yao yanakuwa salama hapo kazi tu ya kupishana ikulu na kwenda kuweka vikao ili...
Kiukweli bora umeliona hili wengine hawalioni.bali wejawa uahabiki tu humu ukiangalia kilichokuwa kikisemwa toka mwaka 2010 ndio.hiki sasa angalau tunachotaka kukiona
Tatizo twaweza wamekaa kichama dora ndio maana na hata hivyo watu waliowengi tulishaona twaweza insfanya kazi kwa masilahi ya chama cha mapinduzi kipindi lowasa ikiwa huko ilikuwa ikitajwa anaongoza alipohama tu eti akashuka jamani hata ambao hawajui tafiti hawako hivyo
Haaaaahaaaa nasikia vijana wamewekwa kazini kwa propaganda sana humu ila hamtafika popote maana baada ya ccm kuishiwa pesa ya kampeni wakakimbia kuuza hisa za tbl so wamepsta pesa wamekuja tena naomba niwaulize je hizo pesa zitarudishwaje au ndio ile hata kma ni nyasi mtakula af mbelele kwa...
Kwa kweli nimesoma kichwa cha habar kutoka gazeti la mawio nimeipenda sana hiyo kauli, nimevuta taswira ya kinana juzi kati alikuwa hapa mwanza akichambua serikali inayoongozwa na chama chake na yeye mwenyewe akiwemo maana bila cham hicho kuongozwa hivyo kinavyoongozwa hata yeye asingekuwa na...
Kwa kweli vijana tutulie tubaki njia kuuu michepuko ya nini na vip mchumba wako alikuwa mbali mpaka ukaanza kuchepuka au ndio ile kuwa mwanaume hawi na mwanamke mmoja
Kiukweli mim sijaona tatizo hapo unajua cc watanzania huwa hatupendi kusema ama kusikia ukweli ukiambiwa ukweli tu utasikia mengi kwani niongo hakukili kuwa kipindi yuko marekani alikuwa na miss na kwani ninani ambae hakuona picha aliopiga amembeba askari wa kike y asifanye hivyo kwa wakiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.