Recent content by hatunawabungechunya

  1. H

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee aibuka shujaa Kawe

    safi sana mh. mdee endelea hivo hivo
  2. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    wewe tunaomba utupe mbunge mmoja wa ccm ambaye anaweza kufananiswa na halima mdee -hoja yako haina mashiko kwetu halima mdee is stii power full super women @ kaiyulankuba
  3. H

    JamiiForums Tanzania Piga Kura ya Maoni safu ya Uongozi mpya CHADEMA kati ya wafuatao

    mbowe bado anasifa za kuendelea kuwa mwenyekiti wetu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Piga Kura ya Maoni safu ya Uongozi mpya CHADEMA kati ya wafuatao

    I hate you, wewe una majina acha u-ccm sisi tunajenga chama kwanza,mwambie aliyekutuma asitualibie chama chetu pambavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zenuuuuuuuuu,shwain dr.slaaa still greater
  5. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Mind you that halima mdee ndie aliyezindua ofisi ya chama boko basihaya, mfuko wake umefungua ofisi ya chama mbezi juu, mradi wa bonde la mpunga wa mabillions of money under halima mdee, to her that is a weak political game you are playing coz she have a number of enemies from the rulling...
  6. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Mh.halima mdee amejenga nyumba mbili za walimu na vyoo pale mbweni shuleni, bunju katujengea kalavati kubwa,kachonga mtaro mkubwa bwawa la mpunga-kawe,madaraja ya msasani yote haya mwapopo huoni?unaangalia chama tu,mbunge ana play part yake vizuri ujenzi wa chadema yetu ni mimi na wewe kwani...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mdee awapa matumaini wakazi wa Babati

    Wabunge wa chadema ni wabunge wa wa tz wote hongera dada mdee kwa kupigania haki ya aridhi yetu tupate wanyonge
  8. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Halima mdee is still a lovely young strong beautiful political lady with a millions of fans not only in kawe kinondoni but also tanzania. She is still powerfull,courageous,intelligent and creative member of parliament with strong points to defend the poor tanzanians not only in kawe but tanzania...
  9. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Life moving like ice on sun shine to us halima mdee is like our stipping stone we are like the sheeps waiting for the shiver brought us food from far a way to insult the beautiful strong lady like halima mdee we questiont you, to me halima mdee is one of the most famouse, strong and known...
  10. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Ni kweli mr .badili tabia hatuwezi kuwa na wabunga walalaji mjengoni .halima mdee is still a powerfull mp
  11. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Toka mdee amechukua jimbo amekuta jimbo hakuna kitu,sasa kawe mji mipya,maji yanapelekwa nenda leo kaone utakuta mabomba yanawekwa pale. Mikocheni mlimani tv road ina lami sasa, na daraja limejengwa mikocheni kupunguza foleni kama unatokea kwa mzee wetu nyerere, hata hivyo mbezi juu sakuveda...
  12. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Wewe ulieandika hii si mkazi wa kawe nini? Huku kwetu tegeta mdeeeeeeeee amekuja zaidi ya mara saba kurejesha taarifa ya maendeleo na kusikiliza shida na kero zetu hata baada ya diwani wa kunduchi kutuuza ,kwa kutaka kubomoa maduka yetu mtaa wa kanisa katoliki mbunge wetu mdee alikuja na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Big nooooooooooo halima mdeee ni mbunge wa kwanza mwanamke tanzania ambaye amekua na hoja za kutetea si tu jimbo lake bali umma wa watanzania nzima. Kwa 2015 kawe na halima wetuuuuuuuuuuuuuuu, wewe janeth rithe na kundi lako tumewasoma kitambooooooooooooooooooooooooooooooooo
Back
Top Bottom