Sasa hivi upinzani upo mioyoni mwa watu ingawa viongozi wa chadema wameamua kusimamia msimamo wao na wale makada tumbotumbo wanatafuta mchele wa bwelele.
unamtoa Kagoma unamuingiza Hamza yaani kocha ana-sub za ajabu.
Timu inacheza mpira lonyolonyo
Wachezaji hawana morali kabisa.
Yanga alistahili ushindi.
Rais ambaye ni mwanasiasa huapishwa na Kiongozi wa Dini.
Vikao vya Kisiasa hufanyiwa dua au maombi na viongozi wa dini pindi wanapofanya vikao vyao.
Viongozi wa kisiasa ni waumini au washirika kwa viongozi wa dini (Yaani ni Baba zao wa kiimani)
Viongozi wa dini wanawajibu wa kushauri washirika...
Bunge linatunga sheria ambazo muda mwengine huleta vikwazo vya kimaendeleo lakini huwa wanapitisha baadhi ya mambo yanayoletwa na serikali ambayo mengineyo hayana tija kwa maendeleo ya umma.
Hapo sijazungumzia upande wa mkuu wa nchi anayechaguliwa kisiasa.
Kiufupi hii nchi wafanya maamuzi ni...
Kwa maoni yangu: Alitakiwa abebe yeye ili kumsaidia na si kumbebesha mzigo.
Hii inaleta taswira kuwa viongozi wengi kazi yao ni kubebesha raia mizigo wao wakifikiri hayawahusu.
na nilichogundua wanachukua kipande kidogo ili kupumbaza watu.
Msaidizi aliyetajwa na Yesu ambaye ni Roho Mtakatifu anasifa nyingi ambazo mtume wao hana hata moja.🤣 majanga sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.