Recent content by Hatudanganyiki

  1. H

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    dawa hapa ni kufanya kama mwalimu nyerere kutolipa, kwani watatufanya nini? Ndio tutajifunza kujitegemea na kuachana na kuwa omba omba
  2. H

    Prof. Tibaijuka: Mliopora maeneo jisalimisheni; aanza kwa kasi!

    hakuna mtu anayepinga suala la beach plots na open spaces lisifanyiwe kazi. Lakini ninachotaka kutahadharisha hapa ni kuwa ni dagaa tu watakaonewa ila mapapa wa kuvamia ardhi za umma hawataguswa. Hii ndo hulka ya ccm. Kwanini niwaache watanzania wenzangi mkiwa na fake hopes wakati inafahamika...
  3. H

    Prof. Tibaijuka: Mliopora maeneo jisalimisheni; aanza kwa kasi!

    HAKUNA LEGALITY YOYOTE KATIKA KUBINAFSISHA ARDHI YA SERIKALI TENA KW MGONGO WA NYUMA. IS SHE THE ONLY ONE TO BULID A PRIVATE SCHOOL IN TANZANIA? IF ALL OTHER PRIVATE SCHOOLS DEVELOPERS ACQUIRE LAND AT THE MARKET PRICE, WHY ONLY SHE GETS THAT PREFERENCE? hON JOHN MAGUFULI WHEN SERVING FOR THE...
  4. H

    Prof. Tibaijuka: Mliopora maeneo jisalimisheni; aanza kwa kasi!

    ninachosisitiza prof anna tibaijuka hana moral authority ya kutenda yale anayohubiriiri. Tatizo letu watanzania wepesi kusahau na kusamehe. Sis ni mama huyu huyu aliyteona mfumo wa ccm na umoja wa wananwake (uwt) hauwezi kuwakomboa wanawake wa tanzania kutoka lindi la umaskini na akaamua...
  5. H

    Prof. Tibaijuka: Mliopora maeneo jisalimisheni; aanza kwa kasi!

    viwanja vya wazi, fukwe nk zote ni mali ya serikali na ranchi ya taifa pia n i mali ya serikali. Kama ni kurudisha kila mtu arudishe alicho nacho. Si wengine kuonewa na wengine kubaki na mali na ardhi za serikali.
  6. H

    Prof. Tibaijuka: Mliopora maeneo jisalimisheni; aanza kwa kasi!

    kutokana na ukubwa wa kiwango cha ada wazazi wanachotakiwa kulipwa katika shule hiyo, hoja kuwa ardhi hiyo inatumika kwa maslahi ya taifa haina mashiko kabisa. Badala yake inachingia kukua kwa matabaka kati ya walionacho na wasio nacho. Chimbuko la yeye kupata ardhi hiyo ni maombi ya vijiji...
  7. H

    Prof. Tibaijuka: Mliopora maeneo jisalimisheni; aanza kwa kasi!

    Waziri mpya wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof Anna Tibaijuka jana aliibuka na kuwataka watu wote waliopora ardhi ya serikali na viwanja vya wazi na na kujenga katika maeno ya fukwe wajisalimishe haraka wizarani kwake kabla ya hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi yao...
  8. H

    Elections 2010 Wasimamizi wa uchaguzi wapigwa marufuku kutangaza matokeo bila kibali cha NEC

    habari ambazo zimelifikiadawatila hatudanganyikikutoka ofisi ya waziri mkuu zinzonyesha kwamba wasimamizi wauchaguzi katika majimbo yaani wakurugenzi wa halamashauri za wilaya, miji na manispaa wameligwa marufuku kutanza a matokeo ya kura zilizopigwana kuhesabiwa katika maimbo yao hadi hapo...
  9. H

    Elections 2010 Ajira za jeshi katika vyombo vya habari

    Wiki iliyopita chombo kikuu cha dola kilitoa matangazo yasiyo ya kawaida katika vyombo vya habari kuwa inatarajia kuajiri madereva wasio na idadi wenye elimu kuanizia darasa la Saba. Na wanaotaka ajira hizo waripoti moja kwa moja katika Kambi ya Mgulani. Hii ni kinyume kabisa na utaratibu wa...
  10. H

    Dola kuishughulikia CHADEMA

    DAWATI LA HATUDANGANYIKI limepokea taarifa za kuaminika kutoka vyanzo vyake kuwa kuwa mara tu baada ya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CHADEMA, siku ya Jumamosi tarehe 28 Agosti 2010 wakuu wa Idara ya intelejensia walikutana na timu ya Kampeni ya CCM kwa ajili ya kutoa mlisho nyuma, na...
Back
Top Bottom