Elections 2010 Wasimamizi wa uchaguzi wapigwa marufuku kutangaza matokeo bila kibali cha NEC

Aug 29, 2010
10
0
habari ambazo zimelifikiadawatila hatudanganyikikutoka ofisi ya waziri mkuu zinzonyesha kwamba wasimamizi wauchaguzi katika majimbo yaani wakurugenzi wa halamashauri za wilaya, miji na manispaa wameligwa marufuku kutanza a matokeo ya kura zilizopigwana kuhesabiwa katika maimbo yao hadi hapo watakapo kuwa wamepata kibali kutoka wka mwenyekiti watume ya uchaguzi.

Mt take: Inaonekana mwenyekiti wa tume ya uchauguzi tayari anatumiwa na ccm kutangaza matokeo ccm inayotaka, hivyo hizo ni njama ya kuhakikisha kuwa kura za dr slaa na wabunge wa chadema zinachakachuliwa. Hivyo chadema wajipange kujumlisha matokeo kutoka kila kituo cha kupiga kura kwa kutumia mawasiliano ya simu na kutangaza matokeo hayo kwa ni ya kuiprempty tume ya uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi
 
Ujumbe umefika,ila umechapia kwenye kuandika duh!!!
Hamna space,vituo, yaani balaa. But big up!!!!
 
Aisee, mpambanaji, hapo inabidi uwe na contacts za The Guardian J2, Mwanahalisi na Tanzania Daima kwa ajili wa kupush issue kama hizi zinapo-drop kwenye meza ili kuwawahi hao wahuni CCM na Tume, habari zifuatiliwe zitoke ktk bomba ili watanzania wote waelewe ni kwanini hatuna watendaji ktk Tume, bali wawakilishi wa CCM ndani ya Ofisi ya Tume, na hivyo wote tume makini siku ya Kura, kulinda na kuwasiliana as soon as voting ends tuwahi kuwasilisha matokeo...La sivyo hao jamaa wa Tume na Ofisi ya Pinda wanalinda walichokabidhiwa kuhakikisha JK anashindshwa!!
 
Mwaka huu iwe uongo na njama za Tume, Uchawi na propaganda za sisiem, Vitisho vya jeshi nk CHADEMA inamaanisha business. Haibiwi mtu kura mzee.
Ingia kwenye thread ya NAMNA NJEMA YA KULINDA KURA katika jukwaa hili hili iliyopostiwa na KAMENDE
 
wanataka kuleta mambo ya kenya hapa.
matokeo ya kura yanabadilishwa na tume ya uchaguzi
 
Jamani msipeane presha ya Bure, Ofisi ya Waziri Mkuu haina mamlaka ya kumwagiza msimamizi wa uchaguzi kufanya jambo au kutokufanya! ..
 
habari ambazo zimelifikiadawatila hatudanganyikikutoka ofisi ya waziri mkuu zinzonyesha kwamba wasimamizi wauchaguzi katika majimbo yaani wakurugenzi wa halamashauri za wilaya, miji na manispaa wameligwa marufuku kutanza a matokeo ya kura zilizopigwana kuhesabiwa katika maimbo yao hadi hapo watakapo kuwa wamepata kibali kutoka wka mwenyekiti watume ya uchaguzi.

Mt take: Inaonekana mwenyekiti wa tume ya uchauguzi tayari anatumiwa na ccm kutangaza matokeo ccm inayotaka, hivyo hizo ni njama ya kuhakikisha kuwa kura za dr slaa na wabunge wa chadema zinachakachuliwa. Hivyo chadema wajipange kujumlisha matokeo kutoka kila kituo cha kupiga kura kwa kutumia mawasiliano ya simu na kutangaza matokeo hayo kwa ni ya kuiprempty tume ya uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi

oooooooooooooooooooh, WASIJE WAKAFIKIRI HIZI NI KURA ZA NEC ZA KUPITISHA MGOMBEA WA CCM, HIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIZI NI KURA ZA TAIFA NA INABIDI WAACHE KUTENGENEZA MAZINGIRA YA KUZUA VURUGU, KILA KUKICHA WANAIBUA MBINU MPYA. MAJI YA SHINGO CCCM, POLENI MAANA MMESHASHIKWA PABAYA.

NCHI HII TUMEMPA MUNGU AAMUE NA ATOE HUKUMU JUU YA MAFISADI NA WEZI WANAOTESA WANYONGE WA TAIFA LA TANZANIA. HUKUMU YENU NEC, CCM, NA WOTE WANAOWASAIDIA IPO, INAKUJA, NA IMEKARIBIA SANA.
 
Jamani msipeane presha ya Bure, Ofisi ya Waziri Mkuu haina mamlaka ya kumwagiza msimamizi wa uchaguzi kufanya jambo au kutokufanya! ..

MM
Unasahau namna Tanzania inavyoongozwa. Haiongozwi na sheria bali mahusiano ya kugawianan vyeo; DEDs wote wanaajiriwa na PMO-RALG. Mwajiri wao ndiye mwenye kutoa amri. NEC ni mwajiri wa muda kwa mujibu wa shria. wakati wa uchaguzi. NEC wana informal contact na Serikali kupitia PMO-RALG au PO. Kwa hiyo inawezekana kabisa PMO-RALG au PO ikawasiliana informally na kuamrisha maamuzi ya namna fulani yafanyike, halafu bila kupitia NEC, PMO-RALG ikawaamrisha ROs kutekeleza hata kama ni kinyume na sheria/kiapo chao. Usisahau kuwa hao ROs wana matarajio ya kupandishwa vyeo, mishahara, lakini kubwa ya yote wana 'mizigo yao' ya skandali za matumizi mabaya ya fedha za halmashauri.
Hii ni vita ati, MM CCN haiko tayari kupoteza madaraka kwa njia ya ya kawaida. Watakubali kushindwa mara baada ya ku-exhaust options zote; chafu na safi!
 
Jamani msipeane presha ya Bure, Ofisi ya Waziri Mkuu haina mamlaka ya kumwagiza msimamizi wa uchaguzi kufanya jambo au kutokufanya! ..

Mwanakijiji you are losing utanzania sasa. Ofisi ya PM kuna wakati haifanya kazi inayotakiwa ifanye na inafanya kazi ambayo haitakiwi kufanya kisheria. So kimsingi ni kuwa sheria zipo kwenye makaratasi tu na zinatumika kama ni issue inayowahusu hohehahe vigogo na matajiri hawabanwi na sheria. Kuna mifano mingi sana.
 
Back
Top Bottom