Recent content by hatibu juma

  1. hatibu juma

    Tanroads morogoro washaita watu kwa ajili ya interview au ndo tayari washaanza kazi

    Jamani vipi matokei ya usaili ya waliofanta written pale tanroad morogoro vipi jaman bado
  2. hatibu juma

    Kyela (Jimbo la Mwakyembe) watumia trekta kusafirisha marehemu barabara hazipitiki. Waziri yupo yupo

    Ninachofurahia wanaocomment hapa n wakaz wa arusha na mikoa mengne hyo ndio muv za siasa bongo
  3. hatibu juma

    Kyela (Jimbo la Mwakyembe) watumia trekta kusafirisha marehemu barabara hazipitiki. Waziri yupo yupo

    Mwaya ipi ina milima sijawah ona labda Mwaya ya makete
  4. hatibu juma

    Good News

  5. hatibu juma

    Mwenye application ya whatsapp inayoruhusu ipad ya apple anipe

    Mwenye application ya whatsapp inayokubali kwenye apple ipad namuomba anitumie link auj ina la hyo application ila isiwe ya kuscan barcode
  6. hatibu juma

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Sasa mkiwa na akili kama za nyumbu kwanini tusiwaite nyumbu aaahaaaaaaaaaaaaaaaahaaa huuu mchezo hauitaji hasira nyumbu
  7. hatibu juma

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Kweli na wew umelewa maana nyie nyumbu n hatari etiii "wazari mkuu"
  8. hatibu juma

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Combination kubwa haijawahi tokea pongezi kwenu makada wetu
  9. hatibu juma

    Sijamuelewa Prof Mbarawa kwenye suala la ununuzi wa MV Dar es salaam!

    Najua wew hujaelewa kwasababu huwa huelewi hadi minyumbu wenzako waongee
  10. hatibu juma

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    2020 magufuri hapigi kampeni maana minyumbu haina pa kukimbilia nasikia ina mpango wa kususia uchaguzi aaaahaaaaaaaaaa kweli ngosha atawanyoooshaa minyumbu
  11. hatibu juma

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Kamanda wa ukweli jemedari na amiri jeshi mkuu dr magufuri hakika ccm haikufanya makosa mungu akuzidishie maisha marefu
Back
Top Bottom