Tanroads morogoro washaita watu kwa ajili ya interview au ndo tayari washaanza kazi

walioitwa wametolewa leo kwenye gazeti la daily news / guardian if not mistaken,,kama 10 hivi
 
Jamani vipi matokei ya usaili ya waliofanta written pale tanroad morogoro vipi jaman bado
 
Jamani vipi matokei ya usaili ya waliofanta written pale tanroad morogoro vipi jaman bado
Nadhani kimya mpaka Leo...kuna utaratibu mbovu sana Tanzania wa uendeshaji wa usaili...Kuna jamaa walishafanya interview ile ile iliyofanyika morogoro ...kabla ya hapo walifanyia Kilimanjaro ...hapo unategemea nini hapo...weight bridge shift in charge...

Better of kuchukua hatua mapema ya kujiajiri tu
 
Back
Top Bottom