Good News

hatibu juma

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
278
36
80e003c7d87d32641283f746899b2671.jpg
 
Sasa hizo benki inabadili kiwango che fee kuwa 1152/- sasa ili keki yake isipungue
 
Duh, a big loss to the bank, na wap wata cover vip operation cost? Kumbuka hiyo faida ni gross Tu....anyways, our government knows better than I do.

Isije kuwa sababu ya biashara nyingi kuhamishwa ...
 
Kuna mfanya biashara anayeongezewa gharama kwenye biashara yake, asiipigie hesabu kwenye bei ya bidhaa zake? Wakipanga hiyo 18% waanzishe kiti kama "technology fee" au wakipe jina lolote, serikali inadhibiti namna gani wakati upangaji wa gharama za huduma za mabenki walishaachiwa wenye benk waamue?
 
Duh, a big loss to the bank, na wap wata cover vip operation cost? Kumbuka hiyo faida ni gross Tu....anyways, our government knows better than I do.

Isije kuwa sababu ya biashara nyingi kuhamishwa ...
Watacover VP kwani ww ndio msemaji wao?
 
Back
Top Bottom