Wengi wao enzi za uongozi wamefanya madudu mengi sasa wana wasi wasi kwaivo wanataka watengeze chain yao ya uongozi ili mengi yasifichuke na waendelee na ulaji kama kawaida.
Hapo ni kumpigia mbuzi gitaa mwana jamvi, kila kitu siasa. Si jambo jipya na si kweli kwamba hajawahi kulisikia kupitia vyombo vya habari kuwa maiti zunazuiliwa kisa malipo. Tutasikia na kuona mengi ya kustaajabisha na kushangaza kwenye kampeni hizi.
Kiukweli taifa letu linapitia hali ngumu sana ya kisiasa na watawala wametia pamba maskioni na kujifanya hawaoni hii hali na kuaminisha watu kuwa hali iko shwari, Yanafanyika mambo ya hovyo sana this time around.
Mpaka sasa natafakari na kijiuliza nani yuko nyuma ya jambo hili, anaefinance na kumobilize issue nzima ya wananachama na viongozi wa chadema kuhamia chadema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.