Recent content by hassankikoti

  1. H

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufuatilia maongezi ya mkeo na michepuko yake?

    Ukimchunguza sana bata uwezi kumla... Acha tu ndugu.. Kwasababu mapenzi kama swiminpool tu aliyeanza kuoga umjui na atakae maliza kuoga pia umjui kwahiyo jisaminishe wameoga wangapi..
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Kongwa, jimbo la Spika Ndugai ni moja ya wilaya za kishamba Tanzania

    Huyo jamaa haijui longer kwa mapana yake.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya habari na siasa zetu

    Akili zao wanazijua wenyewe hao waandishi.., Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini, Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) aaga dunia

    Mbona taarifa haiko sawa ebu tujuze kafia wapi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Mbona chanell za azam hazionyeshi kwasasa kwanini naomba jibu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Mungu awape pumziko huko mbinguni...poleni wazazi ndugu na jamaa mliofika na hiyo misiba
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Kudownload inagoma je nitumie njia gani maana nimemiss kuona hizo chanel
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Kwangu imegoma kabsa mtanisaidiaje kama mdau wenu ...naomba mnipe maelekezo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa kuhamia Dodoma! Hili limesahaulika ama halikuzingatiwa

    Karibu dodoma mazee huku kuko shwali kwa raha zetu kila kitu kipo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tecno siyo Simu ya Kujisifia na Kuifananisha Na High Quality Phone

    Mimi mwenyewe ndio mtumiaji mnzuri wa tecno nina miaka kama minne nazitumia sijaona tatizo
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natambulisha Live Online Tv kwenu

    mimi najaribu kuinstilaa
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Au anhewapongeza ITV daima naona ingekuwa pia au vipi
  13. H

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu wanne wakiwamo Polisi wawili wafariki dunia kwenye ajali mbaya ya gari

    Yaani kwasasa ubinadamu umekwisha MTU unafurahia kifo cha mwenzio kweli utafikili wewe utaishi milele ..kifo kimepangwa kwa binadamu wote na muda wako ukifika utaondoka tu....poleni wafiwa wote
  14. H

    JamiiForums Tanzania TCRA wafanya ukaguzi wa mwisho na kuiruhusu Radio 5 kurudi hewani Dec. 16

    Walitangaza habari za uchochezi ndio maana wakafungiwa
  15. H

    JamiiForums Tanzania Siamini kama Natumia Halotel

    Kweli kabsa wako slow mno kwa Internet ...utafikili sio wao ..sijui tatizo nini?
Back
Top Bottom