Recent content by hassan007

  1. H

    Huyu Msichana ananisumbua akili yangu

    Yani Message anazijibu kwa mariingo sometimes ana soma alafu ana kausha nampiga mistarii wiki ya pili hii.. alafu sasa ni mzuri kweli yani nimemuuliza kama ana boyfriend ataki kunipa jibu ... Yan hata simuelewi...wakina dada hembu nisaidien kimawazo.
  2. H

    Mapenzi ni mazoea

    Sana sio kidogo
  3. H

    Mapenzi ni mazoea

    Soma tena utaelewa tu
  4. H

    Mapenzi ni mazoea

    Pale una mkuta mtu na msichana ambaye wewe una muona sio mzuri wala havutii ila mwenzako kampenda sana , hapo ndo uta gundua mapenzi ni mazoea.
  5. H

    Juma Nyoso amdhalilisha John Bocco

    JUMA NYOSO hii tabia yake mbona mbovu .. Uyu beki wa mbeya city Ana tabia ya kupiga Madole wachezaje wenzake ...TFF MPENI AZABU ANAYO STAILI
  6. H

    INTERNET money

    Sawa mkuu
  7. H

    Innovation school

    Mimi naona kuna umuimu nchi Kama Tanzania kuwa na innovation school na Kama ipo.. Mbona sijawai ata kusikia !!
  8. H

    Magroup ya WhatsApp hayana tija

    Akuna kitu kisicho na hasara
  9. H

    Magroup ya WhatsApp hayana tija

    Lete hasara kwanza faida baadae
  10. H

    Magroup ya WhatsApp hayana tija

    Wadau tokea uanze kutumia whatsapp ime kuingizia hasara gani?
  11. H

    INTERNET money

    Umo kweny forex ni pagumu sana mkuu
  12. H

    Kuwekeza pesa

    Jaman ningependa kujua wapi una weza KUWEKEZA pesa na kupata faida baada ya muda ulopanga kwa mfano mwezi mmoja
  13. H

    INTERNET money

    Wadau ni jinsi gani waweza kujingizia kipato kwa kupitia mtandao (interment)
Back
Top Bottom