Tuko tayari kukimbizwa kwa hili,, Nilijuta last week kuna jamaa walituambia twende kwa mkurugenzi wizara ya elimu ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sikwenda kumbe ndio ilikua bahati yao kwani walipofika tu mkurugenzi akachukua majina yao na ndio wengi wao uliowaona kwenye lot ya...
Habari ziwafikie waliokosa mikopo wote kwamba kesho tutakua na maandamano yatakayoanzia ofisi za bodi ya mikopo kuelekea kwenye ofisi ya waziri mkuu.
Wahusika ni wanachuo wote waliokosa mikopo, first year na continuing students na wale wote wenye mikopo kiduchu kiasi kwamba wameshindwa kwenda...
Laptop aina ya Toshiba yenye sifa zifuatazo:
RAM: 2GB
HDD: 465GB
PROCESSOR: 1.8GHZ
BEI: Laki nne na ishirini i.e 420k
Simu ipo pia aina ya Techno P5 kwa bei rahisi ya sh laki moja i.e 1k
Bidhaa zote zipo katika hali nzuri kabisa bila michubuko wala mivunjiko yoyote
Mawasiliano...
Kinana anamchokoza mzee Pinda..mzee wa watu kawaachia chama chao ye kaenda mpanda kulina asali..sasa sijui ye anaona raha mwenzie akilia lia kila siku mbele za watu!!
Mzee huyu anaandika mambo mengi lakini hakuna cha maana ..hivi kweli kipindi hiki ni cha kuomba misamaha kwa makosa makubwa kama hayo kutoka kwa president candidate hata kama aliyafanya?inaingia akilini leo umwambie Seif asigombee Z'bar halafu umuweke Jusa? Kipi tutakikosa Seif akiwa mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.