Recent content by HASSAN SHEN

  1. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli, ulikuwa wapi leo?

    Wana ugomvi
  2. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

    Jitu ongo
  3. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa Aliko Dangote katika sherehe za kuapishwa Magufuli kumepunguza imani yangu kwake

    Khaaa unashangaa nini wakati ccm ina hisa kiwanda cha Mtwara
  4. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania JWTZ, wafanikiwa kutegua bomu lililokuwa limetegwa visiwani Zanzibar

    Hilo bomu wamelitega wenyewe ili wapate uhalali wa kuendelea kukaa mitaani kwa hoja ya kuwa cuf wanahatarisha usalama
  5. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria CHADEMA Mabere Marando, apelekwa India kwa matibabu

    Kwanini iwe baada ya kutueleza atatutangazia matokeo siku ya pili tu
  6. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Bw. James Mbatia

    Ukweli mtupu, lakini tuko nje ya muda
  7. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania CUF kuachana na UKAWA na kuungana na ACT-Wazalendo?

    Chadema ndio tatizo ndani ya ukawa wanaohudhuria vikao vya ndani wanalijua hilo ikumbukwe kuwa kuna wakati NCCR walikua hawaridhiki na mwenendo wa ukawa wakaonekana ni tatizo sasa ni CUF, jambo la kujuliuliza ni kwanini wote vidole wawanyooshee chadema. Mleta mada usimtishe mtu CUF itaebdelea...
  8. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania Askofu: Serikali ya CCM ilikabidhiwa kwa mizimu wakati wa Uhuru na Nyerere

    Heheheeeee ukiona watu wamekuwa na mawazo kama ya huyo askofu ujue wameshindwa kufikiri na mtu asiefikiri ni mfu
  9. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania CV ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustine Ramadhani

    Jitu hata familia yake inaishi ughaibuni vipi ikulu yetu si itahamia uingereza
  10. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania Hivi NCCR Mageuzi ni wapinzani kweli?

    Tatizo hufanyi research ila unakurupuka kuleta bandiko hapa,NCCR wanafanya kazi na ziara kama ila hawashiki attention ya media na siku zote media hutaka habari inayouza ndio maan NCCR hawaripotiwi sana, wanakimbiza mwizi kimya kimya baadae wanamsuprise ni technic nzuri pia
  11. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi: Mgawanyo wa majimbo uwekwe wazi kuepusha migongano/vurugu

    Si vizuri maoni binafsi kuyahusisha na kitengo au idara ya chama, kama viongozi ni vema tukajifunza kutenganisha vitu ujue ni wakati gani unaongea kwa niaba ya chama na utumie lugha ipi,pia ujue ni wakati upi unaongea binafsi na ujue utumie kauli gani. Vinginevyo ni vurugu
  12. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania UKAWA isiwe sababu ya kurudisha jimbo la Mwanga CCM

    Chukua LIKE
  13. HASSAN SHEN

    JamiiForums Tanzania Kauli Potevu: UKAWA wawe makini, Chama XXX ndo kina nguvu Jimbo hili...!

    Chadema ndio tatizo
Back
Top Bottom