Recent content by hassan mudy

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    05 Today unachotakiwa kwanza uwe na mchoro wako wa umbo husika kama swali lipo katikamaelezo uchore kutoka na maelekezo kisha utapata equation mbili tofauti kutoka katika umbo hilo kama zifuatazo: 1; a+3y = 360° (nyuzi) 2; a+a +y =180°(jumla ya nyuzi za pembe tatu pacha) baada ya hapo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    unachotakiwa kwanza uwe na mchoro wako wa umbo husika kama swali lipo katikamaelezo uchore kutoka na maelekezo kisha utapata equation mbili tofauti kutoka katika umbo hilo kama zifuatazo: 1; a+3y = 360° (nyuzi) 2; a+a +y =180°(jumla ya nyuzi za pembe tatu pacha) baada ya hapo solve kama...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    Habari waungwana Tatizo la kutokwa na mkojo mara kwa mara kwa mwnaume mithiri ya mwanamke mwenye FISTURA unaombatana na maumivu makali wakati wa kukojoa. Je, tatizo hilo linasababishwa na nini? na kipi chanzo na tiba yake?
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kubainisha maneno yanayounda sentensi zifuatazo

    jukwaa la lugha ndo hili inspecta
  5. H

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo masasi mtwara nije Tanga mjini nije kilosa morogoro kibaha pwani 0767377282
  6. H

    JamiiForums Tanzania Masomo ya Sanaa A- Level

    Habari ndugu zangu. Shukrani za dhati ziwaendee wale wotewanaofakisha jukwaa hili la Elimu katika nyanja zote ndani ya JF ila ningependa msaadazaidi utolewe pia kwa Elimu ya upili wa juu ili kusaidia kwa wale wanaojifunza kama watahiniwa wakujitegemea pamoja na wale wa mashuleni kama...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta sarafu ya Shilingi 20

    unahitaji ngapi nikupatie? hassanidd20@gmail.com
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki nurse or madam

    ila hapo baba umeteleza haina haja ya kupanikiau kuna madamu wa jinsi mbili cku hizi?
  9. H

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    mbona mnatuchanganya na hizo tatu bora zao mwenye info za uhakika atueleze tafadhari
Back
Top Bottom