Recent content by Hassan Ab

  1. Hassan Ab

    Mipango ya ccm kuisambaratisha CHADEMA inaenda vema lakini wakumbuke kulinda milango yao pia

    Siku mkijua kuwa siasa ni script inayotengenezwa kiuweledi na hao mnaowaona wanapingana,naamini hamtaamini
  2. Hassan Ab

    Sababu nne za kuweka mali kwenye jina la Mama badala ya mpenzi

    Vyovyote m2 atakavyoona inafaa maana kila m2 anajijua na anawajua wa2 wake
  3. Hassan Ab

    Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

    Alafu mijitu humu inatia huruma,marekani kitu gani bwana,kwani wanauza pumzi?
  4. Hassan Ab

    Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

    Hapo haihitaji hata uwe msomi sana,ishu zote mbili haztakuwa kesi, mambo yatasoviwa kama ulikuwa ni utani,japo wengi wanaochangia kishabiki humu JF wanatumia mihemuko kila mtu anavutia kwake,kitu wasichokijua watu wengi ni kwamba timu nazo iwe young africans au simba au timu nyingne kuwa nazo ni...
  5. Hassan Ab

    Watani wameuziwa mbuzi kwenye kiroba😂

    Mko sahihi siwapingi sunderland,kumbe sanda hamjaanza leo,msimu jana kuna timu imetumia viwanja vitatu na hamsemi humu ndani,taifa,jamhuri moro na chamazi
  6. Hassan Ab

    Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

    Jitahidi pia mtafute shigongo akuelekeze namna nzuri ya kuanza hadithi za kutunga,yote kwa yote utafika mbali ukikomaa
  7. Hassan Ab

    Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba

    Bongo wana mambo ya kiwaki sana,mbona haya mambo huwa ni ya utani kama hawataki utani waseme,kwani ni uongo kuwa jezi haziuziki? Na kama wanasheria wataamua kuchukulia siriaz kauli za wasemaji wote itatakiwa kulipana mabilioni ya pesa,yote kwa yote hakuna kesi hapo
  8. Hassan Ab

    LGE2024 Kitendo cha CHADEMA kufanya vizuri Vijijini kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Ishara Tundu Lissu anakubalika kuliko Mbowe!

    Siku mkiacha kuamini kuwa siasa za nchi yetu ni maigizo,naamini mtaacha kuwachukia viongozi wenu au mtawachukia zaidi,maana hapo kinachofanyika ni kama hesabu za algebra kwenye sets ya kuna mnawaona wao ni chadema,act n.k. Ila amini wana muingiliano(intersect) wa moja kwa moja na hao ccm. Hivyo...
  9. Hassan Ab

    Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

    Inategemea,na aliyemuoa atampush vip,alafu malengo ni mengi inawezekana hata huko kuolewa ikawa nalo ni lengo lake
  10. Hassan Ab

    Kwanini Talimba Abbas hahojiwi kutokana na Gorofa lililoporomoka na kuua Kariakoo?

    Duh! Na kweli maana na ghorofa ilikuwa mchezo wa kubahatisha,na wangetafutwa mbet,wasafibet na wengne
  11. Hassan Ab

    Uvivu wa kutisha, uchawi (kulaguza), na vijana kuamini kwenye quick gain ni baadhi ya sababu zilizorudisha nyuma maendeleo ya Mkoa wa Kagera

    Mtoa andiko kaeleweka sana na yuko sahihi kwa ukubwa ila kwa namna alivyoelezea sisi wa-cuba naye pia ni m-kagera,hvyo basi naamini solution itapatika,kama ambavyo huwa sipendi kudharau maoni na mawazo ya mtu ila naamini kwamba tabia nyingi alizotaja pia zipo mikoa mingi katika nchi hii,nahisi...
  12. Hassan Ab

    Nilimtongoza mara ya kwanza akawa mkali

    Mara ya kwanza anakuona aligundua soksi zako zmetoboka,
  13. Hassan Ab

    KERO Gongo la Mboto mwisho ni chimbo la madada poa mchana kweupe. Wenye mamlaka mliangalie na mfuatilie

    Duh, matangazo mengine bwana! Ok kitengo cha matangazo umekitendea haki,
Back
Top Bottom