Ofcourse ni kozi nzur waweza jiajiri mwenyewe kwa kutengeneza community group, or ukaamua kuchukua watoto yatima kuwalea kupitia project mbalimbali ili upate misaada. Waweza kuajiriwa bank as teller or ukafany motivation kwa jamii kuhusiana na issues za bank, project manager if utakuwa...
Ni moja kati ya ushauri ambao kiongoz katika serikal anapaswa kuwa nao. I appreciate you Mr lema kwan uponzani sio kupinga kila kitu Bali ni mbadala wa serial iliyopo madarakani. Keep it up Mh. Mwigulu n goodluck
Somo zuri. Kwa kuongezea kwa wenzang kwenye tendo la ndoa ni shida kidogo kitunguu swaum ni moja kati ya dawa kurekebisha tatizo hilo. Chukua vipande 10-15 then katakata vipande vidogo vidogo kisha kunywa na maji kwa kila asubuh na jion. Ahsanteni ni dawa nzuri sana ndg zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.