Jaman mie nataka ujumbe tu katika kamati yetu niko tayari maana punyeto huondoa stress na inakupa umakini katika kufanya maamuzi halafu ni salama mimi imeniwezesha kununua gari nimeifanya uber hivo wanachama wenzangu niungeni mkono kwa kupanda uber yangu kidumu chaputa
Sent using Jamii Forums...
Mwambie huyo kwani hata kama natatuliwa marinda inakuhusu nini wabongo bwana kwa kupenda kufuatilia maisha ya watu chaputa pyeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe una dhambi ngapi mbona huachi halafu sio kila mtu anamuamini mungu hii dunia kuna wapagani na mila na imani tofauti usijifanye unamjua mungu wewe kabla hujamnyooshea kidole binadamu mwenzio anza kujiangalia wewe msafi
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kwani shida ni nini wewe kama sio mmoja wao ishi na wenye akili kama zako kila mtu na interest zake acheni kuingilia maisha ya watu
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mh wanawaonea kila mtu ana uhuru wake wewe kama hujisikii hujalazimishwa lakini wengine ndio walivyo waachwe bana maisha ni yao na kama madhara ni yao kinachowauma nini nashangaa sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
tusishabikie uvunjifu wa sheria hili taifa ni letu tutakuja liangamiza tuwe wakimbizi unasemaje wametoka kibiti hata hakuna kati ya mmoja wao amethibitisha hilo tufanye kazi kwa mujibu wa sheria na kuheshimu haki za binadam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.