Recent content by Hasham007

  1. Hasham007

    Natafuta kazi za procurement and supply management

    Mkuu naomba unieleweshe vipi nitafanya mitihani ya bodi na procedure zake
  2. Hasham007

    Kufanya mitihani ya bodi kwa procurement

    Habari zenu : Naomba kufahamu utaratibu wa mtu ambae anataka kufanya mitihani ya bodi ya manunuzi { procurement and supply } utaratibu unakuwaje ??
  3. Hasham007

    Chanzo cha ndoa kuvunjika

    Hahaha sasa wepi woropokwaji ?? Wanaume au wanawake ??
  4. Hasham007

    Chanzo cha ndoa kuvunjika

    So inakuwaje mpaka wanafunga ndoa na wa nakubaliana ??
  5. Hasham007

    Chanzo cha ndoa kuvunjika

    Habari Zenu !!! Zamani watu Wengi wanaoana bila hata kujuana awali : mtu analetewa mume na wazee wake , au mwanaume analetewa mchumba na wazee wake lakini ikitokea wamefunga ndoa basi ndoa zao hudumu muda mrefu zaidi Lakini leo Kabla ya ndoa huwa mnajuana na munapendana ila mkioana ndoa hua...
  6. Hasham007

    Kuongea na mpenzi wako kwenye simu usiku

    Hahaha au ndo wapo wanaongea kwanzaaa ?? Labda tusubiri saa moja asubuhi wakimaliza
  7. Hasham007

    Kuongea na mpenzi wako kwenye simu usiku

    Enzi zileeeeeeeeee Ikifika Mida kama hii umetia vocha yako unaanza kumpigia demu wako apo mpaka Alfajiri Hivi stori gani nzuri za kupiga usiku ili usichoke kuongea na simu Mara moja ???
  8. Hasham007

    Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

    Hahaha saivi ukiambiwa nakuozesha kwa laki 1 huwezi kuamini Mara utasema uyo mke anaukimwi nin hahahahaha
  9. Hasham007

    Nini chanzo cha mahari kuwa juu?

    Habari zenu wana JF, Saivi kumeibuka wimbi la mahari kuwa juu kiasi ambacho vijana wengi wanashindwa kuingia katika ndoa licha ya kuwa na niya yakufanya hivyo. Kwa uoni wangu licha ya maisha kuwa magumu lakini chanzo haswa wazee wa sasa hivi ni tofauti na wazee wa zamani. Zamani mzee akipata...
  10. Hasham007

    Zawadi huzidisha mapenzi

    Hahaha sasa hapo katika limbwataa ..... Limbwata la kurogana au kutoa mambo na mapenzi mubassharaaa
  11. Hasham007

    Zawadi huzidisha mapenzi

    Habari zenu : kwa wale wote ambao wapo kwenye ndoa licha ya mambo mengi ambayo yatazidisha mapenzi lakini ZAWADI ni kitu muhimmu Jizoweshe kumchukulia mkeo Zawadi unaporudi kazini : ukitoka tu Mtumie msg au simu umuulize Leo nikuchukulie kitu Zawadi gani ?? Ikiwa unatabia io basi daima...
Back
Top Bottom