Kufanya mitihani ya bodi kwa procurement

Hasham007

Member
Sep 12, 2017
13
2
Habari zenu :

Naomba kufahamu utaratibu wa mtu ambae anataka kufanya mitihani ya bodi ya manunuzi { procurement and supply } utaratibu unakuwaje ??
 
Swali zuri
Labda kwa kuongezea
Ni vigezo vipi vinafanya Mtu apewe excemption kwny baadhi ya masomo?
Pepa zipo ngapi, niliwahi kusikia kuna research Kama kwny Phd na masters Ni kweli ?
 
Back
Top Bottom