Recent content by hasani migombo

  1. hasani migombo

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Mimi ni fundi mzuri wa simu computer PlayStation n.k Ila nipo kiwandan nabeba maroba
  2. hasani migombo

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua Ofisi ya kutengeneza simu, hatua gani nifuate ili polisi wasinisumbue?

    Habari zenu ndugu na na jamaa Nina swali kidogo naomba msadaa wenu ..Mimi nimejufunza kutengeneza simu software na hardware na sasa nipo vizuri nahitaji kufungua office ili nianze kupata kipato nahitaj kujua hatuwa za kufata ili nifungue hio office sitaki police wanisumbuwe
  3. hasani migombo

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kadhaa wa Burundi wauawa katika shambulio Somalia

    Hatar yan afrika na arabun ndio chochoro za kujaribia siraha kila siku mauwaji
  4. hasani migombo

    JamiiForums Tanzania Wanaume 10 wapotea Morogoro

    Thaman ya mwanaadam uko wap
Back
Top Bottom