Recent content by HASANALIS

  1. H

    JamiiForums Tanzania Jamani mi mgeni

    Karibu sana wewe ni mgeni wetu
  2. H

    JamiiForums Tanzania MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

    Wacheni nyie ccm ndio inakamata uchumi wa dunia kila kitu hapa bureee
  3. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia monitor kama television

    Kina kifaa kinaitwa tv box pita mitaa ya kariakoo kinapatikana kwa tshs 45000 hicho kifaa ni kiunganishi kutoka lcd to tv lakini hakina hdmi ila kama startime ma vengine local unaweza kutumia ,samahan naandika nipo njiani
  4. H

    JamiiForums Tanzania Haya ni mapenzi au mahaba?

    Mahabuba
  5. H

    JamiiForums Tanzania NMB, hatuna shida na pipi, tunataka huduma!

    Hebu nieleze malsir
  6. H

    JamiiForums Tanzania NMB, hatuna shida na pipi, tunataka huduma!

    Ni ajabu kuweza kununua vitu kama pp wakati huduma hata 15% haijafikia ni sawa ma kinunua meli wakati bahari huna
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati, yakanusha habari zinazodai mitambo ya Umeme inamilikiwa na Kampuni binafsi

    Kuna siku nilikwenda kuinana na mhasibu akanambia lipa hili deni la laki 4 bila ya riba ukiiclude na riba inakuka around 2 milion nimechoka
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati, yakanusha habari zinazodai mitambo ya Umeme inamilikiwa na Kampuni binafsi

    Mi nina deni hewa hivyo inanilazimu nitoe elf 15 mwisho wa mwezi kunakipindi ilisoma 0.2 unit kwa sasa napata 2 units
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake Geita watoa machozi kwa Mama Samia

    Kipi kimewaliza kwa miaka 50+
  10. H

    JamiiForums Tanzania CCM kwenda CHADEMA

    Hebu tueleze umeona hali gani huko toa ushuhuda
  11. H

    JamiiForums Tanzania Haya yamemzika Lowassa kisiasa

    Kwa makosa hayo kwa nini hakukamatwa ,hivi tairi ikipata pancha tulaumu gari ? 1,elimu 2,elimu 3,elimu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM alikwenda kuleta vurugu mkutano wa UKAWA afariki

    Rip dada fatma
  13. H

    JamiiForums Tanzania PICHA: Wananchi wa Musoma Wakijitolea Kuosha Gari la Lowassa

    Afadhali huko kina maji
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko tuliyokuwa tunayahitaji siyo ya udini ukanda na ukabila ni ya kupinga ufisadi

    Ushamalizana na Gesi kaka
  15. H

    JamiiForums Tanzania Leo nina furaha ya ajabu, nimevuna 14 wa CCM

    Asante bosi wangu ,kuna mchuano mkali hapa kwangu na mama watoto nimeweza kwa d1 na mbunge bado mamvi meupe
Back
Top Bottom