Recent content by Harvey Specter

  1. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi Wanaoshikiliwa Kinyume cha Sheria maeneo mbalimbali Nchini waachiwe au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imeripoti kuwa imekua ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Imeripoti kwamba mkoani Shinyanga, zaidi...
  2. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania NSSF: Msamaha wa Tozo za Madeni kwa Waajiri

    Angalia tarehe na asilimia utaona utofauti mkuu.
  3. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania NSSF: Msamaha wa Tozo za Madeni kwa Waajiri

    NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo; Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts) kabla au ifikapo 31 Agosti 2026, na kuendelea kulipa michango kwa wakati mpaka ifikapo 31 Desemba, 2026...
  4. Harvey Specter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Mwenyewe nilidhani ndio inavyotakiwa sasa yeye kaja kutaja jina la wimbo na mwimbaji
  5. Harvey Specter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    I can see you're sad, even when you smile, even when you laugh
  6. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola

    Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera amewasili nchini usiku wa kuamkia leo Alhamisi Aprili 9, 2026, akiwa kama kiongozi wa ujumbe wa Jumuiya ya Madola. Chakwera aliteuliwa mnamo Novemba 2025 na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Shirley Botchwey kuwa mjumbe maalumu wa jumuiya hiyo, na...
  7. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Yaamuru Tanzania Kurekebisha Katiba: Vifungu Vinavyozuia Kuhoji Maamuzi ya Tume za Uchaguzi Vyakiuka Haki za Binadamu

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeamua kuwa vifungu vya Katiba ya Tanzania na Zanzibar vinavyozuia mahakama kuhoji maamuzi ya Tume za Uchaguzi vinakiuka haki zinazolindwa chini ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu. Tanzania imeagizwa kufanya marekebisho ya kikatiba...
  8. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yazidi kuboresha ulinzi dhidi ya utapeli mitandaoni; yasisitiza ni jukumu la wote

    Tarehe 17 Februari 2026, Vodacom Tanzania iliandaa kikao cha “Media Connect” katika makao makuu yake chenye kaulimbiu iiliyohusu Kulinda Imani ya Wateja; Juu ya Usalama wa Mtandao, Faragha na Udanganyifu. Tukio hilo liliwakutanisha wadau kutoka sekta binafsi ya habari kwa lengo la kujadili...
  9. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa "Uwakili wa Viti Maalum" wapigwa chini na Mahakama Kuu

    Jana tarehe 17 Februari 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Tabora kupitia kesi ya Amina Mwaluko dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ilibatilisha utaratibu wa baadhi ya watu wakiwemo maafisa wa mahakama, na maafisa sheria wa sekta za umma kupewa uwakili bila kuhitimu Astashahada katika...
  10. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania Yashtakiwa katika Mahakama Ya Afrika Mashariki Kwa Vurugu na Dosari za Uchaguzi wa Oktoba 2025

    Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), wakilalamikia vitendo vya ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi...
  11. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aidhinisha Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko

    Kufuatia Tume Huru ya Uchaguzi kutangaza Jumatano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 kuwa siku ya Uchaguzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametamka siku hiyo ya Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko. Tamko hilo ni chini ya Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35.
  12. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

    Leo Jumatatu tarehe 15/09/2025 Jeshi la Polisi la Tanzania limetoa taarifa kwa umma kwamba limekua likifuatilia taarifa zinazotolewa na Balozi aliyejiuzuru Ndugu Humprey Polepole toka mwezi Julai, 2025. Jeshi limeeleza kwamba tuhuma hizo zimekua zikiashiria uwepo wa makosa ya jinai, ambayo...
  13. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania DART yaendelea kupiga kalenda usafiri wa Mwendo kasi Mbagala

    Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi. Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 ...
  14. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Taarifa binafsi ni mali ya mhusika (mmliki wa taarifa). Haitakiwi kutolewa na mtu mwingine, kwani mhusika ndiye anayefahamu taarifa zake kwa usahihi, isipokuwa pale inapobidi kisheria au kwa ridhaa yake. Ukusanyaji wa taarifa binafsi unatakiwa kufanywa na mamlaka au vyombo husika kwa kuzingatia...
Back
Top Bottom