Hapo unatengeneza faida kwa compound interest mfano: Liquid fund interest ni 12% hadi 14% tuchukue wanatoa 12%
1st year= 12/100×32,000,000/= unapata 3,840,000/=ongezeko Kwa mwaka ambao unajumlosha na mtaji wako wa 32,000,000 unapata 35,840,000/=
2nd year= 12/100×35,840,000= unapata 4,300,800 hii...