Mwingine humu ni mfanyabiashara anakuelekeza kumbe ni dukani kwake ila ukweli wa uzuri na ubora wa friji nzuri tembelea majirani uone za kwao zinavyofanya kazi
Biashara ya juice ya miwa IPO poa sana ila ukipata mtaji tu wa machine mambo yote yanakua sawa Mimi sina mtaji wa mashine ila ningepata ningechangamkia hiyo fursa maana maeneo ni mengi sana ya kufanya hiyo biashara
Mawazo mazuri ila hajasema ni vijana a natafuta kijana sasa muhimu hata ungechukua wasiojua ukawafutrain inakua vizuri maana asiejua atatamani lakini ushalimit mwenye uzoefu aysee mkuu rahisisha mambo hapo
Ndugu zanguni Mnapolumbana ktk masuala ya DINI basi kila mmoja amuheshimu meenzake na sio kutoleana na kukashifiana DINI sisi sote ni ndugu muislamu usitukane DINI isiyokua yako na mkristo usitukane DINI isiyokua yako na malumbano yenu yamefungamana na maneno yasio mazuri heshima kitu cha msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.