Huna ajira? Pitia hapa, chukua hatua

Huna ajira? Pitia hapa, chukua hatua

Biashara ya juice ya miwa IPO poa sana ila ukipata mtaji tu wa machine mambo yote yanakua sawa Mimi sina mtaji wa mashine ila ningepata ningechangamkia hiyo fursa maana maeneo ni mengi sana ya kufanya hiyo biashara
Dah halafu gharama ya mashine inaanzia milioni moja.
 
Mkuu samahani hebu nipe mchanganuo wa kuanzisha banda la chips kwa 200,000 mana kwa haraka haraka naona kama initial capital inazidi hiyo ulioitaja we mwenzetu Ulianzaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu alikuwa na vifaa vyake ndo mana mtaji wa viazi,mafuta pamoja na vitu vidogo vidogo vikaleta initial cost ya 200k, ni biashara nzuri unaweza kupata 30k as profit
 
Wanabodi na vijana wenzangu.

Kama huna ajira fanya yafuatayo na uchukue hatua;

1. Tafuta Tsh 200,000 tu.
2. Tafuta eneo la kuchoma viazi/chips hasa karibu na vyuo, msongamano wa watu.
3. Fungua hii biashara ya kuuza chips usione aibu wala kuogopa.
4. Jipe mwaka mmoja tu. Utakuja kuniambia.

Kama hiyo haitoshi, kuna fursa ya kuuza Juice ya Miwa. Nenda SIDO chukua mashine ya kusaga juisi ya miwa tafuta eneo lenye mkusanyiko wa watu nunua grass zako 10 na Ki-meza.

Ukithubutu Tanzania hakuna umaskini, ukiona unaogopa tafuta kijana mpe mtaji msimamie tafuta mkopo wa Tsh 400,000 kwa biashara ya kuuza JUISI YA MIWA. Ni biashara ambayo haina usumbufu wa TIN NO, LESENI YA BIASHARA, WALA KODI YA FREMU.

Mimi binafsi nimeajiri vijana wanachoma viazi/chips na kunipa 20000 kwa siku kama maeneo matano. Mtaji nilianza nao kwa kila kijana 150,000 kodi ya kieneo kwa madalali 1000 kwa siku. Kabati nilitengeneza Tsh 200,000. Jiko 40,000 Ndo nimewagawa maeneo matano. Kwa siku nakusanya 100,000.

Hata kama umeajiriwa hii ndo fursa iliyopo kwa sasa hapa mjini, achana na biashara kubwa kubwa.
Asante kwa mawazo na ushauri wako,ntaufanyia kazi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliambiwa mashine ya kukamulia juisi ya muwa ni sh laki 8 hadi 1.2 M. Kwa mtaji huo inakuwa ngumu kidogo. Zile mashine SIDO ni shillingi ngapi?
Si kwel
Labda zile zinakuwa full na kibanda kina mataili chini
 
Wazo zuri sana, ila kwa laki 2 utawezaje Fanya hii biashara? ulipe kodi na vifaa ununue?? Kama ni mzoefu Tafadhali tupe mchanganuo halisi kuweza kuendesha hii business

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili wazo lililetwa hapa 2015, leo tuko 2019 hivyo lazima kuna vitu vimebadilika hadi sasa.

Hata hivyo wazo kuu bado liko valid kwa asilimia mia. Kwamba usiwaze kuanza na mtaji mkubwa sana.

Kuna vijana wengi wako mtaani ukiwapa hizi kazi ndogo ndogo kwao ni fursa.

Juzi nilikaa kwa muda stendi ya msamvu pale Morogoro kuna dogo nilimkubali.

Kama tujuavyo, stendi kuna watu wengi wa hali ya kawaida sana. Kuna mateja, wapiga debe, mama ntilie machinga na hata wazurulaji na waporaji.

Kuna dogo alisogea jirani na nilipokuwa nimesimama akiwa na madumu yake kama matano ya lita 20 ya maji na baiskeli yake. Juu ya baiskeli kulikuwa na ndoo safi ya lita 20 pia na pembeni ndoo ya lita 10 yenye vikombe kadhaa.

Kumbe dogo anauza maji kwa kupima achana na haya ya kandoro.

Nilichogundua, yeye anawateja wengi kwa sababu anapima kwenye kikombe kikubwa (nadhani ni nusu lita ile) kwa shilingi mia halafu mteja asiporidhika anauwezo wa kumuongezea kidogo.

Kikombe anauza shilingi mia na ndoo ya lita 20 anachota kwa shilingi mia pia.

Sasa kwenye lita 20 anatoa mia mia ngapi? Halipi ushuru, halipi kodi na wala hachafui mazingira japo ki ukweli ni hatari kwa afya ila wateja wake ndo hao niliowataja juu hivyo wao maswala ya afya hawajali sana na ndo Maisha wanayoishi kila siku. Naweza kusema yule dogo alisoma mchezo akaamua kujiongeza
 
Wanabodi na vijana wenzangu.
Kama huna ajira fanya yafuatayo na uchukue hatua;
1. Tafuta Tsh 200,000 tu.
2. Tafuta eneo la kuchoma viazi/chips hasa karibu na vyuo, msongamano wa watu.
3. Fungua hii biashara ya kuuza chips usione aibu wala kuogopa.
4. Jipe mwaka mmoja tu. Utakuja kuniambia.
Kama hiyo haitoshi, kuna fursa ya kuuza Juice ya Miwa. Nenda SIDO chukua mashine ya kusaga juisi ya miwa tafuta eneo lenye mkusanyiko wa watu nunua grass zako 10 na Ki-meza.
Ukithubutu Tanzania hakuna umaskini, ukiona unaogopa tafuta kijana mpe mtaji msimamie tafuta mkopo wa Tsh 400,000 kwa biashara ya kuuza JUISI YA MIWA. Ni biashara ambayo haina usumbufu wa TIN NO, LESENI YA BIASHARA, WALA KODI YA FREMU.
Mimi binafsi nimeajiri vijana wanachoma viazi/chips na kunipa 20000 kwa siku kama maeneo matano. Mtaji nilianza nao kwa kila kijana 150,000 kodi ya kieneo kwa madalali 1000 kwa siku. Kabati nilitengeneza Tsh 200,000. Jiko 40,000 Ndo nimewagawa maeneo matano. Kwa siku nakusanya 100,000.
Hata kama umeajiriwa hii ndo fursa iliyopo kwa sasa hapa mjini, achana na biashara kubwa kubwa.
mkuu nipe no nikutafute unipe mwongozo
 
Mashine ya kukamulia juisi ya miwa SIDO inauzwa bei gani mkuu?
 
Back
Top Bottom