Recent content by hart

  1. hart

    Mtu gani uliwahi kukutana naye mara moja tu hujakutana naye tena mpaka leo unatamani umuone kwa mara nyingine

    Nampata huyu jamaa! Nimesoma nae darasa moja! Nichek nikupatie mawasiliano yake
  2. hart

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    jibu ni 16 and I am right. nimeona wapi trick ilipo kwenye hili swali. inahitaji utulivu wa maana
  3. hart

    natafuta laptop lenovo y-50

    shukrani h120 ila jamaa hana tena
  4. hart

    natafuta laptop lenovo y-50

    habari wadau. kwa yeyote anaeuza laptop aina ya lenovo y50 yenye graphic card ya nvidia 4gb anipm. shukrani
  5. hart

    natafuta poker chips

    habari zenu wakuu natafuta mahali wanauza hizi poker chips ambazo ni kwajili ya michezo ya kujifurahisha tu na wala sio zile zenye thamani kabisa za casino. Anaefahamu tafadhali ani-pm au comment. Natanguliza shukrani
  6. hart

    iphone 6 needed ASAP

    guys nahitaji iphone 6 asap, kabla ya jmosi please ni pm kama unauza budget ni 850k.
  7. hart

    iphone 6 needed

    Wadau, Natafuta iphone 6 iwe kwenye good condition budget yangu ni 850k Tafadhali ni pm
  8. hart

    TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Bachelor of Accounting in Business Sector(BAF-BS) Mzumbe University
  9. hart

    Ps3 for sale

    ndugu kama huna hela ni wewe sio wote. watu wanaojua quality na wenye pesa watanunua. hukua na haja ya kucomment. haya wamekuelewa. GOOGLE
  10. hart

    Ps3 for sale

    PS3 320GB in a great condition going only for 450,000 tsh. comes with only one controller and 3 cds
  11. hart

    SALE: IPHONE 4s inauzwa kwa nyeupe 16gb

    no ni original kabisa kama unavyoona picha. si mchina
  12. hart

    SALE: IPHONE 4s inauzwa kwa nyeupe 16gb

    wakuu, ninauza iphone 4s imetumika kwa mda wa miezi 4, haina tatizo lolote wala scratch. ni nyeupe na ina gb16. inakuja na charger tu kwa bei ya 420,000/=tsh. kwa yeyote atakaehitaji namba hii 0785707008.
  13. hart

    Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    utamuinspire mtu vip asome comb ngumu wakat anajijua hawez au siyo anayohitaji kwenye taaluma yake? kama we unataka kasome halafu uone matokeo baada ya miaka 2! nyinyi ndo walewale mnaosoma pgm mara cbg alafu mnakuja kuanza diploma in accountancy! kuwa uyaone! hii elimu ya bongo sio kama ya nje!
  14. hart

    Mitsubishi lancer sokoni kwa bei chee

    Bei ni mil 4.5 tu
  15. hart

    Mitsubishi lancer sokoni kwa bei chee

    Wakuu mitsubish lancer used ya mwaka 1998 iko sokoni kwa bei cheap kabisa,vile vile ilinunuliwa mpya with 0km so itakuwa ni second hand! Engine ipo katika hali bomba kabisa!
Back
Top Bottom