Rupia na Hela za Zamani:
Nimekuwa na habby ya kukusanya na kuhifadhi vitu vya zamani kwa mda mrefu sasa. Na hivi karibuni nikaanza kukusanya Rupia, Hela za matobo, Sarafu na noti za zamani za Tanzania, Sarafu za toleo maalum, etc za East Africa and Africa kiujumla, nchi za kiarabu, india and...