Recent content by HAROUB NASSOR HAFIDH

  1. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Gonjwa lipi? Hawajui Sent using Jamii Forums mobile app
  2. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Hospitali ya mkoa - shinyanga Sent using Jamii Forums mobile app
  3. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Shukria Sent using Jamii Forums mobile app
  4. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Yy yupo shinyanga huwa wanampeleka hispitali ya rufaa shinyanga. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Mwili mzima lakini mashambulizi makubwa yapo mikononi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Mimi nimeonana nae juzi tu ni binamu yangu lkn wazazi wake humpeleka spitali za kawaida. Yeye yuko shinyanga mjini Sent using Jamii Forums mobile app
  7. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Ni mwili mzima ila mikononi ndio zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Shukria Sent using Jamii Forums mobile app
  9. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Nijuvyeni? Hili ni tatizo gani? Na tufanyeje?

    Mdogo wangu anasumbuliwa na maradhi haya mnayoona kwenye picha tokea akiwa na umri wa miaka nane (8). Na sasa hivi ana umri wa miaka kumi na nne (14). Huvimba ngozi yake mikononi na kutunga vidonda vyenye usaha viganjani na kwenye ngozi. Huwa anatumia dawa yanapungua, kisha baada ya mda...
  10. HAROUB NASSOR HAFIDH

  11. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Shairi: Hii ya leo kali

    Duh
  12. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Ngano na visasili

    “JUMBA LA AJABU” ************************ _______Hadithi za ngano na visasili zina umuhimu mkubwa kwa jamii, zinatoa maaso, maonyo na ujumbe. Aidha, hadithi zinakuza akili za watoto na kuwafanya wawe na tafakuri kubwa. Hapa mimi nita-andika hadithi ya Jumba la ajabu niliyohadithiwa na baba yangu...
  13. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Tujifunze na tuwafunze wengine

    SAIKOLOJIA NA TABIA Maisha ya kifamilia na kidunia yanapitia mambo mengi. Ni jukumu letu sisi wazazi, walezi, madada, makaka na waalimu kumtayarisha mtoto ili aweze kukabiliana nayo. Mambo hayo yanaweza kuwa wazazi kuachana, kifo cha mzazi mmojawapo au wote, kuzaliwa kwa mtoto mwingine, tabia...
  14. HAROUB NASSOR HAFIDH

    JamiiForums Tanzania Tujipende, tupende wa ndani na vya ndani

    Una maana gani?
Back
Top Bottom