Recent content by HardToGetEasyToCarry

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni hii kitu

    Wewe ni muuaji, usilipe ubaya kwa ubaya! Litakurudia
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kitu kucheza tumboni upande wa kushoto

    Ulitumia dawa gani mkuu?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Naweza kunywa ata mara 2 zinadunda. Na linauma siku 4 mfululizo, sijui nifanye nn
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Nimeenda mara ya kwanza walisema nna ovarian cyst bdae wakasema sina nlivyoenda kwa gyno
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Habari za muda huu wana jamvi, naomben msaada na ushauri pia, nasumbuliwa sana na tumbo wakt wa siku za hatari, nini dawa yake? Je ni kweli mtu akizaa maumivu huwa yanaisha?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada ananiweka sana...

    Na hii corona tutaona meng sana😃😃🙌
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna watu wanafungwa wasioe au kuolewa ?

    Yes haya mambo yapo, kuna mkaka ana miaka 38 hajaoa na hana mpango na kila akianzisha mahusiano yanavunjika! Anajiweza kifedha ila hana familia, nadhan amelogwa au mizimu ya kwao huko!
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna watu wanafungwa wasioe au kuolewa ?

    Ni mapepo hayo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mlioamua kuoa wapendeni wake zenu, mnatupa kazi ngumu ya kushauri

    Ana umri gani? Tuanzie hapo kwanza
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na mke wangu akaniambia nina sura kama Zamadam. Je, anamaanisha nini?

    Hahahahaha kaka zamadam 😂 shkamoo 😂😂
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ana side mbili

    Pisi kali, Very true, yaliwah kunikuta! Ila wanawake tuna uvumilivu sana jaman.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wakubwa naomba msaada wenu mtoto nisipotee

    Sali sana.
Back
Top Bottom