Recent content by Hardlife

 1. H

  Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

  [emoji28][emoji28][emoji28] Kwakweli katuabisha sana.
 2. H

  Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

  Nawe unamakosa sana. Umeshindwaje kumfuata mwenyewe ukamuombe namba. Inaonekana wewe ni muoga sana. Haya mueleze ulipoitoa namba.
 3. H

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Na ndio alinitafuta mwenyewe. Halafu nilijisahau kabisa kwakuwa nilikuwa busy sana hasa na simu kutokana na aina ya kazi yangu.
 4. H

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Kabisa yaani. Mtu anakuona hauna moto kiviiile kumbe ndio anapigwa force king.
 5. H

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  [emoji28][emoji28][emoji28] Kunusa huwa kunakuja tu automatic.
 6. H

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Nimepotea sana humu. Jana tena Kimasikhara. Kama kawaida nikiwa ofisini alikuja dada tayari tulishafahamiana maana jana ilikuwa mara ya pili kuja kupata huduma. Yeye hapendi kwenda kwa subordinates wangu kwakuwa huamini atapata huduma vizuri kwangu na ndivyo ilivyo. Yeye anafanya ofisi fulani...
 7. H

  Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

  Limekataliwa.
 8. H

  Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

  Limekataliwa tena
 9. H

  Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

  Wanawaruhusu sana kufika golini kwao
 10. H

  Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

  France watafungwa muda sio mrefu hapa
 11. H

  Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

  Kweli kabisa. Pasi zina macho sana.
 12. H

  Michuano ya Euro 2020: Ufaransa yaichapa Ujeruman 1-0

  Goli la Mbappe limekataliwa hapa
 13. H

  Hatimaye narudi Dar

  Asante sana
 14. H

  Hatimaye narudi Dar

  Asante sana
Top Bottom