Recent content by HarakatiNews

  1. H

    Breaking News-Msafara wa Waziri Prof Muhongo wapata ajali Kagera

    Ni katika wilaya ya Kyerwa,ajali imehusisha gari la TANESCO gari lililombeba waziri lilikuwa mbele.Hakuna majeruhi wala vifo Tazama picha Nita update hiui taarifa Chanzo:http://www.ajiratime.com/2015/12/road-accident-in-kyerwa-kagera.html
  2. H

    frequency za channel ten 2015

    FREQUENCY MPYA ZA CHANNEL TEN 2015-BONYEZA HAPA au PATA FREQUENCY MPYA ZA CHANNEL TEN NOVEMBER 2015-BONYEZA HAPA | Somahabari|Picha&Matukio
  3. H

    Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

    KUPATA FREQUENCY MPYA ZA CHANNEL TEN BONYEZA HAPA au PATA FREQUENCY MPYA ZA CHANNEL TEN NOVEMBER 2015-BONYEZA HAPA | Somahabari|Picha&Matukio
  4. H

    Naomba Frequency mpya za Channel Ten na ITV

    FREQUENCY MPYA ZA CHANNEL TEN NOVEMBER 2015-BONYEZA HAPA PATA FREQUENCY MPYA ZA CHANNEL TEN NOVEMBER 2015-BONYEZA HAPA | Somahabari|Picha&Matukio
  5. H

    Nataka huduma ya Ssearch engine optimization (SEO) kwa maneno 50

    Kwa wanaohusika na huduma ya search engine optimization seo nina hitaji kuingiza katika SEO maneneo kati ya 30 na 100 kwenye blog yangu naomba kujua Cost zake. Nitajie cost kwa idadi ya maneno husika. nitashukuru. tafadhali taja bei hapa hapa.
  6. H

    Gazeti la Mtanzania leo 7/10/2015 haliko mtaani, halijatoka

    Hongera.Kova hawezi kukukamata. ngoja akina Invisible Paw na Moderator watoke lunch
  7. H

    Wauguzi wakanusha habari iliyoandikwa na gazeti la Mtanzania

    Soma hapa kilichotokea.WAUGUZI WASAMBARATISHWA NA POLISI,WAPEWA DAKIKA 30 KUONDOKA ENEO LA MKUTANO | Somahabari|Picha&Matukio
  8. H

    Orodha ya walioitwa kwenye usaili utumishi

    ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UTUMISHI 8/010-22/10,2015-BONYEZA HAPA | Ajiratime | Nafasi Mpya za Kazi
  9. H

    Orodha ya walioitwa kwenye usaili utumishi

    Kupakua majina-BONYEZA HAPA
  10. H

    Makanisa matatu yachomwa moto Bukoba leo Septemba 22,2015

    Makanisa yaliyochomwa moto ni Pentecostal Assembilie of God (PAG) kata bakoba eneo la buyekera,Living Water International na Evangelical Assemblies of God (EAGT) kata ya Kibeta yote ya mjini Bukoba .Chanzo chake hakijafahamika ambapo wachungaji na viongozi wa kiroho wanaomba vyombo vya dola...
  11. H

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Bukoba Mjini, Kagera - Septemba 21, 2015

    STAR TV iko live,hivyo nitalerejea na picha na yaliyosemwa na magufuli Saa 3:45-Mwenyekiti wa Mkoa constancia Buhiye anatoa salam za mkoa,
  12. H

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Bukoba Mjini, Kagera - Septemba 21, 2015

    Mambo karibia yanaaza. naviona vikundi vya burudani. mitambo ya star tv imefungwa tayari,watakuwa live muda mfupi ujao. redio kasibante fm ipo hewani tayari. shughuli rasmi haijaanza,bado watu wanazidi kuingia hapa uwanjani
Back
Top Bottom