Breaking News-Msafara wa Waziri Prof Muhongo wapata ajali Kagera

HarakatiNews

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
218
187
1.jpg

Ni katika wilaya ya Kyerwa,ajali imehusisha gari la TANESCO gari lililombeba waziri lilikuwa mbele.Hakuna majeruhi wala vifo

Tazama picha

Nita update hiui taarifa

Chanzo:http://www.ajiratime.com/2015/12/road-accident-in-kyerwa-kagera.html
 
Back
Top Bottom