Recent content by happy soul

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kusafisha cheti

    Ahsante.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kusafisha cheti

    Habari zenu wadau, swali langu ni hili, je kwa mtu aliyekwisha kumaliza chuo, anaruhusiwa kusafisha cheti chake cha form 4/form 6 endapo alifeli hesabu tu? Na kama inaruhusiwa taratibu zake zikoje?
  3. H

    JamiiForums Tanzania AGE LIMIT kwenye ajira za Serikalini

    Mfano Tanapa, nafasi walizotoa juzi..zote ni not above 30
  4. H

    JamiiForums Tanzania AGE LIMIT kwenye ajira za Serikalini

    Habari zenu wakuu, nimeona katika baadhi ya taasisi za serikali wameweka age limit ya not above 30 years karibu position zote ambazo hazihitaji experience, kwenu imekaaje, hususani kwa hali ilivyo ngumu kimaisha, baadhi ya watu wamechelewa kugraduate, na wamekuwa wakitafuta kazi kwa miaka kadhaa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kutojumuishwa kwenye majina ya walioitwa usaili TRA

    Habari zenu, naomba kuuliza, niliapply nafasi za tra mwezi june, wametoa majina na sijawa shortlisted, kwa yeyote anayeweza kujua nini ilikua shida anipatie majibu please, maana nimewapigia tra wenyewe wameshindwa kunipa majibu husika.
Back
Top Bottom