AGE LIMIT kwenye ajira za Serikalini

happy soul

Member
Oct 20, 2022
6
6
Habari zenu wakuu, nimeona katika baadhi ya taasisi za serikali wameweka age limit ya not above 30 years karibu position zote ambazo hazihitaji experience, kwenu imekaaje, hususani kwa hali ilivyo ngumu kimaisha, baadhi ya watu wamechelewa kugraduate, na wamekuwa wakitafuta kazi kwa miaka kadhaa bila mafanikio, pili, elimu ya Tz haimujengi kijana kujiajiri mwenyewe, na wengine hawana kipato toshelezi cha kuanzisha biashara zao wenyewe.

Je, hawa vijana ambao wako above 30 waende wapi na wafanye nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom