happy soul
Member
- Oct 20, 2022
- 6
- 6
Habari zenu wadau, swali langu ni hili, je kwa mtu aliyekwisha kumaliza chuo, anaruhusiwa kusafisha cheti chake cha form 4/form 6 endapo alifeli hesabu tu? Na kama inaruhusiwa taratibu zake zikoje?
Ahsante.Visit www.necta.go.tz utawapigia pia
InawezekanaHabari zenu wadau, swali langu ni hili, je kwa mtu aliyekwisha kumaliza chuo, anaruhusiwa kusafisha cheti chake cha form 4/form 6 endapo alifeli hesabu tu? Na kama inaruhusiwa taratibu zake zikoje?