Recent content by happy mbinda

  1. H

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Afadhali ww uliebakiza kutumiwa token mm ndo haikubali kabisa nikiingiza tuu namba ya Siri naambiwa huduma hi haipatikani kwa Sasa watuambie shida iko wapi tujue Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna shida Kwny kununua umeme Kwny cm?? Maana kila nikijaribu napata meseji huduma haipatikani kwa Sasa jaribu badae tangu jana usiku km Kuna ttzo tuambiwe basi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kukutana na Papa Francis, Vatican

    Mpaka nimecheka kwa nguvu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini waliofutiwa matokeo ya mitihani kidato cha nne wasirudie mitihani kama wale wa darasa la saba?

    Wapewe mtihani mwingine warudie mtu amesoma miaka minne alafu unamfutia mtihani kwahiyo atakua amesoma bure basi Bora angekaa nyumbani tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Me maoni yangu jamani nmb kuanzia mbezi mpaka kimara hakuna benki kwanini?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kuliza kuhusu Ajira Portal wenye uzoefu nayo

    Unaaply ulichosomea utasomeaje ualimu alafu ukaenda Kwny usaili wa nurses?? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

    Hata Kuna Cha HIV Kiko hivyo [emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

    Yes hicho ndio kipimo Cha mimba hivyo vipimo vyenu vingine hatuvielewi labda vya vitu vingine Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

    Vipimo vya ivo vipo vingi kuona mistari sio tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaojua vipimo vya mimba kwa kutumia mkojo, hiki ni kimoja wapo?

    Hicho sio kipimo Cha mimba Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Menejimenti ya Utumishi wa Umma kuhusu OPRAS

    Najickia kucheka Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom