Recent content by Hapendeki

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kimawazo nipo njia panda.

    kaaazi kweli kweli
  2. H

    JamiiForums Tanzania Basi la Ihowanja Kwetu laua sita!

    poleni sana wafiwa
  3. H

    JamiiForums Tanzania mademu

    mademu ndio nini?
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

    Mhh miaka saba yote na bado hajulikani kwenu ni kwa nini? ama ulikuwa unawasikilizia hao ndugu zako watasema nini kumhusu? Sasa kwa kipindi chote hicho kama ulijua kwenu hawamkubali na wewe ukakubaliana na wao kutomwoa kwa nini usingemwacha mapema sasa angekuwa ashasahau maumivu na kupata...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mdogo

    Mke mkubwa ana taarifa kwamba unamsaka mke mdogo? ameridhia?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ambaye yupo tayari

    kila la kheri !
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

    Rip mzee
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyekwenda jando....

    Labda ujaribu kufanya, halafu urudi hapa utueleze kama utakuwa umepata madhara ama laa!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Madaktari Wa Tiba Mbadala Mbona Wamezidi Siku Hizi?

    Maradhi sugu nayo yameongezeka, hivyo watu wanatafuta alternatives za kutibu hayo maradhi na matatizo mbali mbali ya kiafya. Nao madaktadi wa tiba mbadala wameisoma jamii na matatizo yaliyoko katika jamii yetu mfano hospitali zetu na matatizo yake. Hivyo wanatafuta nafasi ya kujaribu dawa zao na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wa tandala chuo cha ualimu

    mhhhh huna ratiba ya chuo hicho kinafungwa lini na kufunguliwa lini?
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ivi kweli mtu akioa dada zangu wa kichaga lazima ajenge kwao kwanza?

    Oa mchaga uje ulete jibu hapa!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Irene Uwoya

    waacheni wafu wazike wafu wao!
Back
Top Bottom