Recent content by Hapapetu

  1. H

    PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    U mean PSPF au PPF?
  2. H

    PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Bwana Bello pensheni za Jan, Feb na March zililipwa Desemba 22 kabla ya xmass..mie nlikopa mama nkaendea likizo mishahara ilikuwa bado..huwa wanatoa in advance kwa sasa ni za April, May na Juni...nazo zimetoka...anachukulia postal bank....
  3. H

    PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Fanya homework kodogo kabla ya maamuzi....karibu mnibadili mawazo nimepitia ripori ya bosi wao SSRA 2014...hakuna mfuko unaololipa kama PSPF hao LAPF hawana hata wa kuwalipa NSSF labda ni shirika la nyumba na mbwembwe zoote za mijengo na wanachama lukuki wamelipa kidoonyoo.....
  4. H

    PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Xmass mama alikuwa anaringa pensheni za Januari alilipwa Desemba 22 mie hata mshahara ilikuwa bado alinikopesha nauli ya kwenda home.Mie nachangia PPF ila PSPF nawatamani kinoma......
  5. H

    PSPF yashindwa kuwalipa wastaafu

    Pensheni za April, Mei na Juni? Kumbe wanapewaga advance kabisa? Na huu mwezi si ndio ulikuwa na sikukuu wiki nzima? Mbona kama naona watu wanaonewa hapa......au ndio majungu ya kina NNSF na LAPF....anayejua mfumo wa pensheni wa PSPF hawezi ongea haya....nina mama nesi amestaafu....wenzie...
  6. H

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Si kila mtu anaweza kureport mambo ya fedha... hawa waandishi wetu hawa!!! Ukisoma magazeti ya kingereza ndo utaona utofauti/upotoshaji wa habari.... Hawa jamaa wameanza mwaka 1999 wanalipa watu walioanza kazi kuanzia miaka ya sabini... kuidai serikali hayo mabilioni ndo kuwa yameliwa?? Ndio...
  7. H

    Vijana mlioko kwenye mashirika ya Pensheni na Taasisi nyinginezo, Chapeni kazi!

    :A S angel:Mkuu Mtagandwa... utakuwa na agenda ya siri?? Kwani uko Mkoa gani??? Huwa kuna challenges za kuendesha branch offices kwa taasisi nyingi?? Mitandao mara nyingi sio matatizo ya ndani... huwa ni ya service providers... Labda mkonga wa taifa (ule mradi white elephant) utasaidia...
  8. H

    Marylin Mashiba

    Ni mke wa Robert (Source Michuzi) ilikuwa bomba mbaya. Jk si huwa ni omni present mwalike ya mwanao
Back
Top Bottom