Recent content by Hapakaztu

  1. Hapakaztu

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaisifu Tanzania kusimamia Uchumi kwa umahiri

    Kuna watu hii nchi wameifanya mali yao.hawana huruma watoto wanasomea taa za barabarani mijitu ipo tu kukusanya na kuweka mabilioni nje ya nchi.
  2. Hapakaztu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Hakuna hata sehemu Moja iliyoandikwa Ukitaka kumkosoa Rais au Serikali mkosoe kwa Staha!

    Taratibu Watanzania watachangamka nakuona mwanga majizi wa keki ya taifa jiandaeni
  3. Hapakaztu

    JamiiForums Tanzania Daktari Mkuu, mpe mgonjwa Rufaa

    Habari Watanzania, Wenzangu, ni dhahiri kabisa kwa sasa huyu mgonjwa Tanzania yupo hoi hoi bin taabani tunamuomba daktari mkuu anayemhudumia sasa akubali ampe rufaa kwa specialist mapema asubuhi ya mwaka 2025. Hii itakuwa salama kwake daktari ili mgonjwa asije mfia mikononi mwake ikizingatiwa...
  4. Hapakaztu

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

    upo Tanzania au upo nje ya nchi mkuu
  5. Hapakaztu

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

    Namuomba Raisi wangu mpendwa ampe rufaa huyu mgonjwa Tanzania anahitaji specialist sio daktar wa kawaida kama yeye aking'ang'ania mgonjwa atamfia mikononi mwake.
  6. Hapakaztu

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni wa ovyo sana

    Tumeumbwa kutawala sasa huwezi kutawala mtu mmoja
Back
Top Bottom